Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
Fumau mashairi ni shabiki wa yanga, wapenzi wa mpira wa miguu wa hapa nyumbani nadhani tuna mfahamu.
Juzi kati kafungiwa kwenda viwanjani, tuyaache hayo.
Fumau alikua na mahusiano na Binti Mmoja na walipendana sana, upande wa binti walionesha kumkubali fumau sana.
Ghafla wakabadilika wakaacha...
Comedian na activist Eric Omondi ameachiliwa kwa personal bond ya KSh100,000 baada ya kufikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kudaiwa kuzuia magari kupita Kimathi Street, Nairobi. Eric alikanusha mashtaka hayo, akisema hana hatia. Kulingana na hati ya mashtaka, anadaiwa kushusha jerricans 120...
Zimbabwean comedian Learnmore Jonasi has found himself at the center of a major legal storm after South African music legend Lebo M filed a $27 million lawsuit over a joke linked to Disney’s iconic film, The Lion King.
The dispute stems from a comedy segment in which Jonasi humorously...
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti.
Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are...
" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂
"Nakunywa Serengeti Ngorongoro"
"Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe"
Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.
Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
Habari mi nicomedian bdo najitafuta naomba support yenu instagram natumia trump mwambelo Facebook trump mbs tik Tok Trump mbs WhatsApp no 0658903409 kama kunamdhamini anidhamini maoni pia na pokea asanteni
Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes .
Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo.
Lakini ni tofauti kabisa na...
Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani.
One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari.
Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha.
Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine.
Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu!
Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi