comedian

  1. ndege JOHN

    Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

    Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
  2. Idugunde

    GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  3. Magufuli 05

    Kweli Msigwa unaandaa Press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile?

    Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti. Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are...
  4. X

    Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

    " Bubu anaitwa Maneno " 😂😂 "Nakunywa Serengeti Ngorongoro" "Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe" Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
  5. D

    Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

    Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
  6. Keyboard_Warrior

    Trump: comedian Zelensky aliingiza mkenge USA

    Nani amehack account ya Trumpet!?
  7. incredible terminator

    Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  8. H

    Wanajamii wenzangu mimi ni comedian, naomba support yenu

    Habari mi nicomedian bdo najitafuta naomba support yenu instagram natumia trump mwambelo Facebook trump mbs tik Tok Trump mbs WhatsApp no 0658903409 kama kunamdhamini anidhamini maoni pia na pokea asanteni
  9. GENTAMYCINE

    Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  10. Lycaon pictus

    Kwa sasa Josh Jonhson ndiye standup comedian bora.

    Huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani. Na contents haishiwi. Tunae sana. https://youtu.be/K3uWj2MpydI?si=waw1IIdb73q7akb6
  11. LIKUD

    Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

    Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
  12. GENTAMYCINE

    Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  13. PAZIA 3

    Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  14. LIKUD

    Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

    Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
  15. Analogia Malenga

    MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

    MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
  16. Area 56

    Kumbe unaweza ukaitwa timu ya taifa ila ukawa unatumika kama Comedian

    Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha. Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine. Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu! Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
  17. MamaSamia2025

    Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  18. Analogia Malenga

    Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari. Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo. Kwa sasa anapata hela kwa...
  19. Expensive life

    Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

    Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge. Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Back
Top Bottom