Kwa wale wadau wa CLEARING AND FORWARDING COMPANIES AND AGENTS, Nimewaletea mfumo unaotatua matatizo yenu yote..
huu mfumo una kila kitu cha kukuwezesha kuwahudumia wateja wako kwa ufasihi, mteja anaweza kujua hali ya mzigo/container yake,
picha inaanza:
1. Dashboard: hii inakupa summary ya...