Msaada: Certificate ya Clearing and forwarding inayotolewa TRA

nicholas1

New Member
May 28, 2016
4
4
Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje.

Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira ukoje maana kama atahitaji kuajiriwa lakini pia akihitaki kufungua kampuni yake taratibu zikoje au soko la hao watu likoje Kwa ujumla?

Nawasilisha.
 
Kaisomr.Elimu haina mwisho.Hiyo ni practising certificate.Maana yake unazama kwenye sheria na taratibu za forodha za Jumuia ya Africa Mashariki.
Ajira na Kujiajiri inategemea na wewr mwenyewe na uwezo wako wa kutumia fursa zilizopo na zinazoibuka.
 
Back
Top Bottom