chura

Chura Sharif is a village situated in Jand Tehsil of Attock District in Punjab Province of Pakistan.
Chura Sharif has the largest Naqshbandi shrine in the Indian Sub-continent. It is the centre of the Naqshbandi order in the sub-continent.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kitaalamu, chura aweza tumia macho ya tai?

    Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
  2. Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  3. Chura jike hujifanya amekufa ili asijaamiane na chura dume asiempenda

    Nature ni nature kwa kila kumbe Ni ngumu Sana kwa kiumbe cha kike kujamiiana bila sababu binafsi Iwe mapenzi Pesa Au faida flani. Hivi hivi sio kweli Ngoja nilale kama chura jike
  4. Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Nipashe la leo Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wa nchi, kujiamulia mambo yake yenyewe ya ndani, bila kuingiliwa na mataifa ya nje au taasisi za kimataifa. Nimeileta mada kama...
  5. Uzazi wa kushangaza wa chura

    Katika hali ya kawaida maisha huanza kutoka tumboni iwe yai, iwe mimba ama funza, lava na hata kiluwiluwi Lakini kwa chura wa Suriname, uzazi wake huanzia .. Yaani mgongo hupasuka na vitoto vichanga hutoka! Iko hivi Baada ya kujamiiana, jike huchukua mayai yaliyorutubishwa kwenye mgongo wake...
  6. Tundu Lissu ni Simba. Samia alikiri hili jambo yeye mwenyewe. Na yeye ni Chura Kiziwi

    Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote. Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge. Alikuwa akizunguka zunguka...
  7. Kutana na Chura wa mitini wenye Macho mekundu - Nature's Neon Ninja!

    Kwa miili yao yenye rangi ya kijani kibichi, macho mekundu ya kumeta-meta, na michirizi nyororo ya bluu-na-njano, Vyura wa Mitini Wenye Macho Mekundu wanaonekana kana kwamba waliruka moja kwa moja kutoka kwenye misitu ya mvua! Wakiwa wenye asili ya misitu ya kitropiki ya Amerika ya Kati, vyura...
  8. Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  9. Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa!

    Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na...
  10. Hadithi ya Chura Rais - Chura Kiziwi 🐸

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na nchi iliyojaa maziwa na asali, nchi yenye mandhari nzuri na hali ya hewa bora. Katika nchi hiyo, mnyama aliyekuwa akiitawala alikuwa ni Chura, lakini hakuwa chura wa kawaida, bali Chura aliyekuwa Rais wa nchi. Chura huyu alijulikana kwa kuruka ruka nchi...
  11. S

    Wimbo wa Chura na siasa zetu. Zingatia maneno mvua, maji, bwawani, kisimani, dada Rukia na kuvunjika ugoko

    Kwenye maneno yafuatayo weka:- Kisima = nchi. Mvua = shida/changamoto. Bwawani = ughaibuni. Maji = Mali za umma. Dada Rukia= 1. Mafisadi 2. Waarabu/mabeberu Kuvunjika ugoko= weka tafsiri yako
  12. Tumejiandaaje kuwasikiliza Leo Wachambuzi Uchwara wa Uchumi ambao baada ya Bajeti Kusomwa watahojiwa na wataisifia ili Teuzi zijazo Chura awakumbuke?

    Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo...
  13. Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  14. Kutoka Utawala wa Chuma mpaka Utawala wa Chura Kiziwi

    Kwetu sisi wapiga kura je hii ni promotion au demotion??
  15. Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

    Huyu mrembo wangu ananihudumia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi, mwili umenawili hatari; kweli nimeamini wanawake vibonge na wenye chura za kuvutia, huwanenepesha waume...
  16. KWELI Baadhi ya chura tunaokutana nao majumbani wana sumu inayoweza kukuua

    Wakuu, Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu chake, wakati anavaa hakumuona, basi huyo chura akamng'ata kwenye kidole baada ya kushtuka (unajua jinsi...
  17. UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  18. Video: Masai arushwa kichura chura

    Mwanaume mmoja wa kabila la Kimasai ameonekana akirushwa kichura chura baada ya kuvamia shamba la watu. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  19. J

    Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia. "Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia...
  20. S

    Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…