Niwasalimu vijana walioko vyuoni, kwa kuwaandikia vitu muhimu ambavyo ni matuamaini yangu kila mmoja wenu atahitaji kuvifanya kabla hajamaliza masomo.
.
Ni muhimu mimi kuyazungumza haya kwa sababu kubwa mbili, Moja, kwa sababu nataka idadi kubwa ya vijana wawe na uwezo wa kutokutegemea...