Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu.
Ninaamini elimu tunayopewa chuo inatupa maarifa lakini tukiangalia baadhi ya vitu nadhani kuna haja ya kubadilisha...