chuo

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO VETA Mbeya kuna shida gani? Tumemaliza mafunzo ila mchakato wa kukamilisha mafunzo unasuasua

    Mimi ni mmoja wa waathirika wa ukosefu wa ajira rasmi serikalini tangu nilipohitimu chuo miaka 10 iliyopita. Kutokana na hali hiyo, nilijiongeza kwa kujifunza taaluma nyingine yenye masharti tofauti na taaluma yangu ya awali ili niweze kujipatia kipato. Katika kutekeleza majukumu yangu katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Open University, haswa tunaosoma program ya Masters in Community Economics kuna changamoto kubwa sana

    Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ufundi Polisi kuna shida gani vyeti vya HGV havitoki tangu tusome mwezi wa 5

    Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti. Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  8. JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya Fani zifuatazo unashauri kijana aliyemaliza chuo ajifunze kwa future?

    Udereva malori(Transit) Excavator driving Au ni fani gani una mshauri kijana mpambanaji asomeee?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa muda (Part-Timer) – Chuo cha UDOM, mwezi wa 5 sasa tunasotea malipo yetu

    Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine). Wengi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

    Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health summit,wanahudhuria masterclass na hii inakua ni tofauti kwenye vyuo vingine vya afya Je changamoto...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa nafasi aliingia kwenye website zao na kuzihack. Vyuo hivyo ni Indian Institute of Technology...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ufundishaji katika chuo cha DIT

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata ujuzi unaostahili. Kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya walimu hawafundishi ipasavyo kwa kipindi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha udsm kimenundikia hivi je kimenikataa au niendelee kusubili

    Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya research kinyume cha utaratibu

    Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu. Hata hivyo, wanafunzi wanalalamikia muda mfupi waliopewa, kwani muhula huu wana masomo matano pamoja na jukumu la kufanya research na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma katika Chuo cha Mipango Campus ya Mwanza tunachelewa kupata vyeti

    Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa vyeti imeharibika. Hali hii imetuletea usumbufu mkubwa, hasa kwa wale wanaotoka maeneo ya mbali ambao...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…