Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Kwa Wanasheria na Mawakili, Moja ya kosa kubwa kabisa linaloweza kukufanya uzuiwe kuendelea kufanya kazi za Uwakili ni pale unapothibitika kufanya kosa la kitaaluma yaaani professional misconduct.
Katika sekta ya Sheria Proffesional Misconduct ya juu kabisa ni kudharau Mahakama. Ikiwemo...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana.
Nini ningefanya?
Ningehakikisha kuwa chuo kinajikita katika tafiti zenye tija na zenye kutoa mchango halisi kwa jamii, taifa, na dunia...
Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo.
Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa taarifa kwa umma kuhusu mabinti wanafunzi wa chuo kikuu waliomdhalilisha binti mwenzaoa, taarifa hiyo ni kama ifuatavyo
"Ndugu Wananchi, rejeeni taarifa yangu kwa umma ya tarehe 20 Aprili, 2025...
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.
Wakirudi majumbani...
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA SHAMBULIZI LILILOHUSISHA WANAFUNZI
Dar es Salaam, 20 Aprili 2025
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinasikitika na kulaani vikali tukio la kushambuliwa, kudhalilishwa, na kudhuriwa kwa msichana...
Malezi ya watoto wa sikuhizi bana ni hatari sana, ukisikia mzazi ameuza ng'ombe akampeleka ng'ombe shule ndio huku, nyie wazazi huruma sio malezi, sisi watoto wa 80's ukimzingua mzazi atakupa mijeredi mpaka ushangae..
Nimeona video wanafunzi wa chuo kikuu kinachoaminika kwa kutoa elimu Bora...
Habari Wana Jf🚀 Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto!
Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko njiani, na...
Habari Wana Jf🚀 Njoo Niseme Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto!
Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko...
Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda
Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake.
Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?.
Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi.
Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana...
Anonymous
Thread
chuochuokikuuchuokikuu huria
huria
kikuu
kujua
research
tunataka
Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani
saa 9 zilizopita.
Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo.
Momodou Taal, ambaye...
Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!.
Unamchukua form four failure unampa uongozi wa Mkoa, aongoze wenye Div one nk kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo...