chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  2. Troll JF

    Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

    Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa. Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
  3. A

    DOKEZO Responded SUMA geti la UDOM wanakamata vyombo vya usafiri na kuvitoza pesa. Je, zinaenda wapi?

    Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
  4. A

    KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  5. The mission 2017

    Kwa Graduate Peke ake, Ni kiasi cha pesa kilitosha ku-finance Elimu yako ya Chuo kikuu, Je Does it worth it?

    Habari Wakuu. Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu. Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa...
  6. immortanity

    KERO Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  8. Roving Journalist

    Responded Chuo Kikuu Huria (OUT): Tunachunguza tuhuma za Wahitimu wetu wa Mahafali ya 44 kudaiwa kufoji matokeo ya mitihani

    Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
  9. DuaZaMama

    Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  10. M

    Ingependeza kila ukanda ugekuwa na chuo kikuu cha serikali, mgawanyo wa vyuo vikuu bado ni kikwazo kwa baadhi ya kanda

    Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k. Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache. Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
  11. M

    Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

    Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike. Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe...
  12. technically

    Elimu ya chuo kikuu TANZANIA ni mfu?

    Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu. Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
  13. Mhaya

    Kwanini hakuna Hospitali au Taasisi nyingi kubwa za Kiislamu licha ya matajiri wengi kuwa Waislamu?

    Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii wanakuwa ni watu wazito sana, sanasana watatengeneza maendeleo kwa ajili yao tu. Hakuna sehemu hapa...
  14. A

    KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  15. REJESHO HURU

    Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  16. Richard

    Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  17. dronedrake

    Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  18. A

    DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  19. U

    Wewe msomi wa chuo kikuu huoni hata aibu kutambulisha binamu yako wa kike kuwa eti ":She is my cousin Sister?"

    Sema she's my Cousin yatosha na sahihi na sio my Cousin sister
  20. M

    Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa

    Habarini nyote.... Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II sema ilinilazimu nianze clinical medicine diploma. Hivyo nimefanya machaguzi kubadilisha course...
Back
Top Bottom