chunya

Chunya District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Tabora Region, to the northeast by Singida Region, to the east by Mbarali District, to the south by Mbeya Rural District, and to the west by Songwe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Chunya District was 206,615.In 2006, the District Commissioner of Chunya District was Frank Uhahula.In 2015, Songwe District was split from the western part of Chunya District and integrated into the newly created Songwe Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanongwa

    Mbeya: Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani acheni Rushwa, simamieni sheria

    Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria. Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu. Mabasi yanayotoka...
  2. Kyambamasimbi

    Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  3. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Barabara ya Chunya - Makongorosi (km 39) - Chunya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua barabara ya Chunya - Makongorosi (Km 39) na kuzungumza na wananchi wa Chunya- Matundasi katika mkutano wa hadhara leo tarehe 06 Agosti, 2022.
  4. Lady Whistledown

    Tulia Ackson: Barabara ya Mbeya- Chunya ni zaidi ya majanga

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote. Akizungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungeni jijini Dodoma ameitaja barabara ya kutoka Dodoma kwenda Iringa kuwa ni janga huku akieleza barabara...
  5. Chachu Ombara

    Chunya: Radi yaua wanne wakichimba kaburi

    Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Watu hao walipigwa na radi Jumapili Januari 9, 2022 wakichimba kaburi kwa ajili ya kumzika ndugu yao aliyefariki Januari 7. Mkuu wa Wilaya ya...
  6. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  7. Nuraty J

    Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

    Summary Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye. By Hawa Mathias Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
  8. N'yadikwa

    Wakazi wa Itumbi Chunya tunahitaji lami

    Migodi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Itumbi Chunya Mbeya ni mingi zaidi ya wachimbaji wadogo na kati 5000 tupo eneo hili, ila tuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa barabara ya lami. Tafadhali serikali mtuwekee lami huku ili biashara yetu ya madini iwe rahisi. Tunazalisha sana madini huku...
  9. Nebuchadinezzer

    Dotto Biteko, kuwafukuza wana Chunya kwenye eneo lao la machimbo ni unafiki

    Mwanzo nilikuona wa maana sana kumbe ndio walewale walamba viatu na wajali matumbo yao. We ni mtu wa ovyo, mzandiki na usiyefaa hata kidogo! Umeamua kuwafukuza wananchi wa Chunya kwenye eneo lao waliokuwa wanachimba eti walimdanganya rais. Wewe kama msaidizi wa rais, iweje ukubali bosi wako...
  10. Analogia Malenga

    Mbeya: RC Juma Homera amsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Chunya, Edward Andendekisye

    MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400. MKUU wa Mkoa wa...
  11. Kitchener

    Mgodi wa Shantamine Chunya unakusanya dhahabu nyingi lakini hauna impact yoyote nchini

    Nimesafiri Huko chunya mkoani Mbeya kibiashara mara kadhaa kibiashara, kuna mgodi mmoja unakusanya dhahabu balaa lakini hauna impact yoyote kwenye hii nchi. Naomba kuuliza, sio kwa kuusemea ila kiukweli, hivi hawa watu kweli bado wanafanya pembuzi yakinifu au tunapata gawio kiasi gani kila...
Back
Top Bottom