Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha
Rais...
Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano.
Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
Ndoa zina mambo!
Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda.
Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua...
Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert
Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake.
Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?
Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼
Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
Aisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo, wadogo zangu wanapenda kunitembelea, wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,hata nisipokuepo lazima utakuta mabadiliko chumbani,nikasema isiwe kesi niweke kioo full sebureni hapa nilipoweka kochi na tv lakini...
Tajiri huwa hasalimii kila wakati.
Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22.
Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26.
Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani.
Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.
Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii
Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo chumbani ina react na mkaa na kutokea hewa ya carbon dioxide
C + O2 = CO2
hii carbon...
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange...
VISA NA MIKASA; Shoga ya
Nimetoka zangu kujifungua narudi nyumbani nakuta nyumba ni safi, yaani nawaza huyu si mume wangu kwakweli!
Naingia ndani nawaza nani kafanya huu usafi! Jicho la kiukaguzi, yaani kuchunguza kama kuna kitu. Basi nikawa sina amani, mume ananiuliza vipi namuambia kuchoka...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha Power Breakfast leo, Jumanne Desemba 17.2024
Lissu amesema
"Kuna hoja zinasemwa kwamba haya mambo...
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.