Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo

Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?