chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

    Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito. . Namchukia sana kutoka rohoni mwangu. . Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM. . Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
  2. JamiiForums Tanzania Chuki za kisiasa isiwe sababu ya wapinzani kupakazia wanaCCM ujambazi. Unyanyangnyi wa kutumia siraha ni serious offence

    Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko. Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia. Tuweke...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka chuki ya dhidi ya Russia kwenye mkutano wa kundi la nchi 20

    Fadhili Mpunji Mgogoro wa Ukraine unaendelea kufichua hali ya umwamba kwenye siasa za kimataifa, ambao sasa umefikia hatua ya nchi moja kuzilazimisha nchi nyingine kufuata msimamo wake, na kufanya vitendo vya kulenga nchi zisizokubaliana na hali hiyo. Kwa baadhi ya nchi za magharibi, dhana...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaojali, na wakarimu bado wapo kwenye ulimwengu huu uliojaa wenye chuki, na wabinafsi

    Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
  5. JamiiForums Tanzania Katika kukosoa na kushauri viongozi tuwe na dhamira njema, sio chuki, visa, ukanda au udini

    Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  8. JamiiForums Tanzania Facebook yaruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi

    Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi. Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno ya chuki dhidi...
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya magazeti yanakera sana kwa chuki zao za wazi

    .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  11. JamiiForums Tanzania Exposure katika kazi ni muhimu. Je, Watanzania wana wivu, chuki na ushamba?

    Niliwahi kuandika uzi kuhusu uelewa wa watanzania wengi upo chini ya kiwango kinachotakiwa kimataifa, na uzi wenyewe ni huu Uelewa wa mambo kwa Watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka Mjadala wa kujadili mtu badala ya uwezo wake binafsi ni matokeo ya watu waliokosa...
  12. JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

    Alichofanya ni kuwaambia watu wa Hai kuwa hawana Mbunge maana anashinda Dodoma akila bata. Watu wa hai wakampiga chini Mbowe. Sasa kuwa na kesi kama Armed robbery kwa aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa wilaya mnaona kawaida? Tena kosa lenyewe analifanyia wilaya nyingine yenye mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

    Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna Taarifa ya Uchunguzi: Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp...
  14. JamiiForums Tanzania Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

    Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

    Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza Gwajima, nikaona ushahidi wa Makomandoo, nikaona namna sabaya alivyotesa, Makonda alivyotesa, Muro...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbatia acha kueneza chuki

    Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6. Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Chanjo ya COVID-19 ilikuwa ni ya kupatia Mkopo? Sisikii tena

    Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right. COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni biashara na itaendelea kuwa biashara. Watu ni kweli wapo waliofariki kwa ugonjwa huo. Sikatai but ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua. Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa namna hii huwa 'nauchukia' na 'naudharau' mno

    Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao. Kama mnadhani hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…