china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Sudan Kusini watarajia kikundi cha madaktari wa China kirudi tena

    kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo wanatarajia kuwa madaktari wa China watarudi tena. Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili Mikubwa ya China: Ina umuhimu gani kwa jamii ya kimataifa?

    Mikutano Miwili mikubwa nchini China, ambayo ni Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) na Mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC), inatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi hapa Beijing katika Ukumbi wa Mikutano. Mikutano hii imekuwa ikifuatiliwa sana na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika unapevuka kulingana na mahitaji ya wakati

    Katika muda wa miongo miwili iliyopita ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukibadilika na kugusa mambo mengi, badala ya ushirikiano kwenye mambo ya kisiasa tu, au ushirikiano wa upande mmoja (yaani upande wa China), kuusaidia upande mwingine (yaani upande wa Afrika), kama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Macho ya China yahama kwenye ufadhili wa miundombinu na kuelekezwa kwenye kutokomeza umasikini katika Afrika

    Wakati ushirikiano baina ya China na Afrika ukiendelea kuwa wa karibu zaidi, mipango mbalimbali ya kutokomeza umasikini na kuleta maendeleo kati ya pande zote mbili imeingia katika hatua mpya. Ni kutokana na mtazamo huu ndio maana Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC lilianzishwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yawa jukwaa la kuonyesha uvumbuzi wa teknolojia ya China

    Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

  7. M

    JamiiForums Tanzania Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

    Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000. Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua paneli za jua za photovoltaic nchini Kenya

    Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo. Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya...
  10. JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping asisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika ili kukabiliana na changamoto mpya

    Wiki hii rais Xi Jinping wa China ameandika bara ya pongezi kwa sherehe za uzinduzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichoko mjini Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. Chuo Kicho kilianzishwa na vyama sita vilivyoshiriki kwenye ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ambavyo ni Chama cha...
  12. JamiiForums Tanzania Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

    Katika harakati zangu za kutafuta maisha. Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu. Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni. Alikuwa na acount Instagram Login •...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yatimiza ahadi yake huku Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ikifungwa

    Mwenge wa Olimpiki umezimwa, na kufunga pazia kwenye Michezo ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, lakini shauku bado inaendelea kutoka kwenye tamasha la michezo ambalo limechangamsha na kuhamasisha dunia katika wakati huu wa janga la Corona. Thomas Bach, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Viongozi wa Uganda na China wajadili ajenda mpya ya kutokomeza umaskini

    Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China katika Ikulu Ijumaa, alitaja maeneo mawili muhimu ya Uganda ambayo ni kutokomeza umaskini na kuhamisha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kupanua mauzo ya bidhaa kwa China kunaifanya Afrika kuwa kanda ya kuvutia katika ukuaji wa uchumi na biashara duniani

    Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara ya Forodha ya China, mwaka 2021 kiwango cha biashara kati ya China na Afrika kiliongezeka kwa 35% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, na kufikia dola za Kimarekani bilioni 254.3, kiasi ambacho kimezidi kile cha kabla ya kutokea kwa janga...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia kujenga mustakabali wa Afrika peke yake

    Giza lilipoingia nchini Ethiopia, jengo refu zaidi la Afrika Mashariki lilikuwa liking'ara, na matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yalikuwa yakionyeshwa kwenye ukuta wa pazia. Jengo hilo lenye urefu wa mita 209 ni makao makuu mapya ya Benki ya Biashara ya Ethiopia...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashirikiana na Kampuni ya China kujenga maabara ya kupima virusi vya Corona

    Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili. Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…