china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa takwimu mpya za viumbe anuai

    China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China. Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha ya mwaka huu imeongeza spishi 10,343 ikilinganishwa na ya mwaka jana, na kufanya jumla ya spishi kuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  5. JamiiForums Tanzania Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

    Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama). Maana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  7. JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  8. JamiiForums Tanzania The wright brothers

    Ndege ya kwanza kupaa angani na marubani wa kwanza kurusha chombo hicho. Hiyo ilikuwa 1903 pitty hawk Marekani. Beberu katika ubora wake
  9. JamiiForums Tanzania Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  10. JamiiForums Tanzania China wameweza kutengeneza jua la bandia [artificial sun]

    - Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116] - Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa nguvu ya nuklia[nuclear fusion]. - Mfumo wa ufanyaji kazi wake ni katika mfumo wa nuclear fusion...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

    Watanzania wengi ambao ni wavivu wa kutafuta maarifa, huiongelea sana China kama nchi iliyofanikiwa sana kiuchumi, kwa wao kujifungia na kwa kutegemea ubunifu wao na mitaji yao. Wengine wanaenda mbali zaidi, na kushauri Tanzania ifuate mfano wa China. Kwa wale wasiojua, wafahamu yafuatayo: 1)...
  12. JamiiForums Tanzania Wakinga wamejazana mno mji wa Guangzhou nchini China, wengine hawana muamko au wameridhika ?

    Yani unaambiwa huko Guang zhou wakinga wamejazana si mchezo aisee, wapo ambao ndugu zao wana maduka kariakoo, huwa wanapelekwa huko ili kusaka machimbo ya bidhaa na kuzisafirisha. wapo ambao familia zao hazina biashara ama zinataka kupanuka, kinachofanyika wanamchangia hela ya vibali na nauli...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China

    Ikiwa dunia inaadhimisha siku ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali nyekundu kila ifikapo Mei 8, nchi mbalimbali hasa hza Afrika zitaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China katika barani humo, ambao wamekuwa mstari wa mbele kupambana na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China yaadhimisha Siku ya Vijana Kitaifa ya Mei 4 ikiweka kipaumbele zaidi kwa vijana

    Vijana ni hazina na nguzo muhimu inayotegemewa na taifa lolote lile duniani. Nchi inapaswa kuweka kipaumbele na kutoa fursa kwa vijana ili waweze kuonesha uwezo wao wa kulitumikia taifa. Tangu enzi na dahari inajulikana kuwa vijana ndio chachu ya uzalishaji, ulinzi wa taifa, siasa, ubunifu na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na moyo wa kuchapa kazi ndio sifa kubwa ya vijana wa China

    Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
  16. JamiiForums Tanzania China: Bwawa kubwa namba 2 duniani karibu kukamilika...

    Endeleeni kusema gesi gesi gesi Jionee mwenyewe
  17. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaimarisha ushirikiano katika sekta ya anga ya juu

    Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia wanaovalia sare wanarekodi data iliyorejeshwa na satilaiti ya kwanza ya Ethiopia ETRSS. Satelaiti hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Simba fans wako na Ahmeid Ally hawana habari na page ya Manara!

    Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally mtu msomi, mchambuzi mwenye skills zake. Anaendana na mashabiki wake na sio yule..... pamoja narangi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya kulinda amani vya China vyachangia amani na usalama barani Afrika

    Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu wake wa kimataifa, na kutoa mchango muhimu katika kudumisha amani na utulivu duniani, hasa barani...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…