china

  1. L

    Watu wa kabila la Wadong washerehekea Sikukuu ya Xinmi nchini China

    Julai 31 watu wa kabila la Wadong katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya Wamiao na Wadong mkoani Guizhou China, waliandaa shughuli mbalimbali ili kusherehekea Sikukuu ya Xinmi.
  2. Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  3. China kuanza zoezi la kulipua mabomu baharini, huku Pelosi ametua Taiwan bila shida

    Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja...
  4. New World Order on horizon: Je, Tanzania tutapatia this time around?

    Mbiiu la mgambo lishaliaa. Tarumbeta la parapanda lishalia.. Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa east? Lakini kabla hatujachagua tukumbuke mkenge tulioingia Kwa kumfwata mrusi, aka msovieti kwa...
  5. China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  6. M

    Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  7. China achafua hali ya hewa

    Hicho ndicho anachosema sema NASA. Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa. Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au kuhatarisha maisha ya wanadamu. Kwa kawaida, kwa wabobezi wa anga za juu hicho kiuno, ama tumbo, ambalo...
  8. L

    Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  9. L

    Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  10. Nawamegea Fursa ya Kilimo cha Maharage ya Soya kwa ajili ya Soko la China

    Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
  11. M

    Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  12. Waziri wa Ulinzi aongoza maadhimisho miaka 95 ya Jeshi la watu wa China

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza maadhimisho ya miaka ya 95 ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (Chinese People’s Liberation Army) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1927, maadhimisho haya yamefanyika kwenye Ubalozi wa China hapa Nchini...
  13. Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  14. Vita ambavyo China imewahi kushiriki

    Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika nyanja za vita. Karibuni sana tuelimike wote!
  15. China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

    China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa. Changamoto...
  16. L

    China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza kwamba anatilia maanani sana ushirikiano wa amani na usalama kati ya China na Afrika, na kupendekeza...
  17. Rais Xi Jinping ampa onyo kali Rais Joe Biden akimuonya ''Asicheze na moto" sakata la Taiwan

    Baada ya mazungumzo kwa simu yaliyochukua masaa 2 na dakika 17 kati ya Rais wa Marekani, Joe Biden na Rais wa China, Xi Jinping, Xi atoa onyo kali kuhusu mgogoro wa Taiwan: "wale wanaocheza na moto bila shaka wataungua. China inapinga Vikali kuingiliwa katika masuala ya Taiwan na itatetea...
  18. Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  19. L

    Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…