china

  1. L

    Watu wa Xi’an, China wapanda subway katika siku ya kutoendesha gari duniani

    Tarehe 22 Septemba ni siku ya kutoendesha gari duniani. Mjini Xi’an, China, watu wanapanda subway kutetea mtindo mpya wa maisha mjini.
  2. L

    China yaziongoza nchi kubwa duniani kuratibu uhusiano na nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
  3. L

    Mchango wa timu za madaktari wa China watambuliwa na kuthaminiwa zaidi watu wa Afrika

    Pili Mwinyi China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni jambo la kawaida na limeshazoeleka, ambapo madaktari hawa wanajitahidi kadiri wawezavyo kuokoa...
  4. Rais Biden: Marekani itailinda Taiwan ikivamiwa na China

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China. Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda Taiwan ambapo mwanzoni mwa Septemba 2022 Marekani ilipitisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha za...
  5. Biden asema Marekani itailinda Taiwan iwapo China itashambulia

    Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China. Akizungumza katika mahojiano ya chombo cha Habari cha CBS, Bw Biden alijibu "Ndiyo" alipoulizwa ikiwa hiyo inamaanisha majeshi ya Marekani...
  6. China: Watu 27 wafariki kwa ajali wakipelekwa Karantini

    Watu 27 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa wakiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha karantini cha Covid-19 wakati basi lao lilipopinduka katika eneo la Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. Guizhou imerekodi zaidi ya maambukizi mapya 900 ya COVID19 ndani ya Septemba 16 na 17, 2022 pekee. Baadhi...
  7. Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

    Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
  8. China yakataa ombi la Mazungumzo na Papa Francis

    Mkutano wa kimazungumzo baina ya Vatican [ Pope Francis ] na China [ President Xi Jinping ] umeshindwa kufanikiwa . Reuters imeripoti kuwa “ Vatican iliiambia China kuwa papa Francis alikuwa tayari kukutana na Rais wa China Xi Jinping kwa ajili ya mazungumzo wakati viongozi hao walipo kuwa...
  9. Wanafunzi kulipa Tsh. Milioni 4.8 kwenda China na Air Tanzania

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100. Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
  10. Jengo la china telecom linaungua kwa moto. Mamia wahofiwa kufa.

    Jengo hilo hapo, ni katika mji wa Changsha.
  11. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E"

    Septemba 13, saa 3:18 usiku, China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E" angani kwa kutumia roketi ya Long March 7 kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Wenchang. Satelaiti hiyo hutumiwa zaidi kuwapa watumiaji huduma bora za simu, data, redio na televisheni.
  12. L

    Fadhili Mpunji: Mipango hewa ya juhudi za Umoja wa Ulaya kudhoofisha nguvu ya ushawishi wa China barani Afrika zaonekana kugonga mwamba

    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
  13. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  14. R

    Tamko la Balozi wa Tanzania nchini China kuhusu Mtanzania aliyehusishwa na Udhalilishaji wa mwanamke China

    Kutokana na tukio lililosambaa mitandaoni ambapo Usalama wa Umma wa Xi'an uliripoti tukio la wanaume wa Kitanzania kuwanyanyasa wanawake, Ubalozi wa Tanzania nchini China umethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo umesema kuwa umeomba mamlaka kumlinda kijana huyo na uchunguzi kufanyika kupata...
  15. R

    Mtanzania Ashambuliwa na Mwanamke wa Kichina, Yasemekana kwa Kosa la Kudhalilisha Wanawake

    Inasemekana Mtanzania huyo amehukumiwa kifungo cha siku saba, na kuamriwa kuondoka China mara moja kwa kosa la kudhalilisha wanawake. Kulingana na ripoti: Mnamo Septemba 12, 2022, karibu na Mtaa wa Jiaoda, Wilaya ya Beilin, Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, mwanamume mgeni alishukiwa kudhalilisha...
  16. L

    Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika umeibua fursa nyingi na kuleta ushindi kwa pande zote mbili

    Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
  17. L

    Samaki wanaolishwa kwa chupa waonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China

    Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
  18. Tuwe wawazi kidogo, wazo la Ujamaa halikuwa jema kwa ukubwa

    Sawa, najua utachoanza kusema, ooh ukabila ulikomeshwa, hakuna civil war, mabeberu wangepindua tena nchi hii, etc. Lakini twende na uhalisia wa matokeo, ni nchi gani iliyokuwa mfuasi wa ukomyunisti (kutoka kwa Mchina na Mrusi) leo ina maendeleo yenye kasi kubwa, bali tu kuwa wahanga wa sera zao...
  19. L

    Vijana wa Afrika waongea na wanaanga wa China walioko anga ya juu kwa njia ya mtandao

    Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu maswali yaliyoulizwa na vijana hao kama vile wanaweza kuona Jangwa la Sahara na Mlima Kilimanjaro...
  20. L

    Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…