china

  1. Webabu

    Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  2. I

    Benki za Urusi zathibitisha kuishiwa na Yuan huku kampuni za China zikijitenga na taifa hilo

    Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo. Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo...
  3. ward41

    China vs Japan

    ECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP) Japan 4 trillion USD (GDP) Population: China🇨🇳 1.4 billion Japan🇯🇵 123 million Per capita: China: 13000 USD Japan: 33000 USD Je wewe ungemchaguwa Nani
  4. Mindyou

    Cyril Ramaphosa: China haina lengo la kuiingiza Afrika kwenye mtego wa madeni

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni," Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
  5. K

    Pesa ya China kwa Africa $50B kwa miaka 3 ni ndogo sana

    Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
  6. F

    Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  7. uhurumoja

    Japan anamteketeza China kwenye derby ya far east

    Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga vya Beijing na Hong Kong wanchina wanaugulia kwa maumivu
  8. Roving Journalist

    Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  9. ChoiceVariable

    Kijana wa Kitanzania afungua biashara ya mabilioni nchini China

    Huyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa. -Anamiliki kampuni ya Logistics -Anamiliki Warehouses -Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea. My Take: Tunataka Vijana wengine wapambanaji kama Hawa
  10. S

    Tetesi: Kesi ya Sukari Mahakama Kuu yamzuia Bashe kwenda China ziara ya Rais

    KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kashfa ya utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...
  11. Hismastersvoice

    Mwenye kujua wasanii wangapi mama amekwenda nao China naomba anijuze.

    Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China. Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
  12. X

    Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

    Volkswagen inafikiria iwapo itafunga viwanda nchini Ujerumani kwa mara ya kwanza katika historia yake ya miaka 87 huku ikielekea kuongeza upunguzaji wa gharama huku kukiwa na ushindani unaoongezeka kutoka kwa watengenezaji magari ya umeme nchini China. –London (CNN) Mapema wiki hii CNN...
  13. T

    Kwanini China haina Waafrika?

    Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!? Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa. Sio kwamba wanatudharau sana!?
  14. kavulata

    Viongozi wa Afrika wanaenda China kujifunza lakini hawaji kufanya kama Wachina

    Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
  15. Msanii

    China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  16. L

    Tamthilia za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika

    Tamthiliya za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika Tamthilia na filamu nyingi za Kichina ambazo zinatafsiriwa kwa lugha mbalimbali, zinazidi kujizolea umaarufu na kupata mashabiki wengi katika majukwaa mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa tasnia ya burudani ya...
  17. Mad Max

    Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

    Wakuu, ni EV nyingine kutoka China. Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two! Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
  18. L

    Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  19. L

    Ajenda ya mwaka 2063 ya Umoja wa Afrika na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kuhimiza mafungamano China na Afrika

    Kwa muda mrefu sasa ushirikiano kati ya China na Afrika ulijikta kwenye ushirikiano kati ya pande mbili, yaani ushirikiano kati ya China na nchi moja moja ya Afrika, uliojikita kwenye mahusiano kati ya serikali. Kutokana na kuendelea kupevuka kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, wigo wa...
  20. L

    Miradi ya China barani Afrika yachochea maendeleo ya uchumi na kutoa nafasi nyingi za ajira kwa watu barani Afrika

    Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
Back
Top Bottom