china

  1. JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  3. JamiiForums Tanzania China tayari imezindua 10G

    China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯 Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀 Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu...
  4. JamiiForums Tanzania China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  5. JamiiForums Tanzania Musukuma afahamishwe tukiwa kama China hawezi kuwa mbunge

    Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China. Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi kuvaa magwanda ya red army ya wakomunisti wa China inamaanisha nini katika nchi inayojinasibu ya demokrasia?

  7. JamiiForums Tanzania Ni mustakabali wa internet na mitandando ya kijamii kama wenye mamlaka wanaweza kuizuia na kuruhusu tuone au kusikia wanachokitaka? Case China/Korea

    Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo: 1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia Kutengwa na Dunia...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania China ilipeleka msaada Gaza ikiusindikiza na ndege 6 za kijeshi

    Kwanini hizi taarifa hazitangazwi kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi? Check video ina maelezo ya kiswahili
  10. JamiiForums Tanzania Reliable Air Cargo Services from China to Tanzania at $11.5/Kg

    Dear Customers We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram. Why Choose Our Service? Speed: Timely delivery of your goods using efficient air transport routes...
  11. JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China na India wameongezeka nchini

    WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii. Filamu ya Amazing Tanzania iliyomshirikisha Rais Samia na nyota wa China Jin Dong imechangia ongezeko la watalii...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meli ya China na Tanzania (SINOTASHIP): Nguzo ya Usafirishaji wa Mizigo Baharini

    KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika kuimarika kutokana na athari ya ushuru uliowekwa na Marekani

    Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Pale uponyaji unapohitaji sindano tu, matibabu ya akyupancha ya China yaleta nafuu kwa wagonjwa wa Zanzibar

    Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake. Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wapiga ngoma wa China na Senegal wawasiliana kwa mdundo wa masikilizano

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki wa jadi ambao umedumu kwa miongo mingi. Urafiki huu unagusa sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utamaduni. Hivi karibuni, onyesho lililopewa jina la “Masikilizano ya Ngoma na Muziki” lilifanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal, ambapo wapiga ngoma kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Gavu asisitiza kuimarishwa ushirikiano Tanzania na China

    Na Mwandishi Maalumuu, Shandong - China KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake. Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa...
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ziara ya Ruto nchini China yajadiliwa na wabunge wa Seneti Marekani, wahoji uaminifu wake kwa Taifa lao

    Wabunge katika Seneti ya Marekani wahoji kuhusu uaminifu wa Kenya kwa Marekani kufuatia ziara ya hivi karibuni ya Rais William Ruto nchini China. Katika muktadha wa vita vya kibiashara kati ya Marekani na China na mvutano mkubwa kati ya Mashariki na Magharibi, Ruto mwezi uliopita alitembelea...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaleta utulivu kwa uchumi wa dunia

    Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Je, China ilitoa zawadi au iliweka mtego kwa Afrika? – Siri ya wizi wa taarifa katika makao makuu ya Umoja wa Afrika

    Je, China Ilitoa Zawadi au Iliweka Mtego kwa Afrika? – Siri ya Wizi wa Taarifa Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika Mwandishi: MalekoGJ On X @GoodluckMalekoJ Utangulizi Mwaka 2012, bara la Afrika lilishuhudia “zawadi” ya aina yake kutoka kwa China — jengo la kifahari la Makao Makuu ya...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    “All imperialists are nothing but paper tigers.” - Mao Zedong Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu. Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu. Siku hiyo kwa tambo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…