china

  1. JamiiForums Tanzania China Yazindua Uzalishaji wa Chipu za AI Zinazotumia Mantiki Isiyo ya Kawaida (Non-Binary AI Chips)

    China imeanza uzalishaji kwa wingi wa chipu za kisasa za akili bandia (AI) zinazotumia mfumo usio wa jadi wa “non-binary” — yaani hazifanyi kazi kwa mfumo wa kawaida wa tarakimu mbili (binary) wa 1 na 0 pekee. Badala yake, chipu hizi zinaweza kuchakata taarifa kwa kutumia hali ya uwezekano...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Marekani aweka wazi kwamba, alikwenda Afrika kuilenga China!

    Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa kufuata amri ya waziri wa ulinzi wa Marekani, mkutano huo uliandaliwa na Marekani na lengo kuu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
  5. JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  6. JamiiForums Tanzania China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  8. JamiiForums Tanzania Russia na China kuingia mzigoni baada yaashambulizi ya Muyahudi

    Baada ya Israel kufanya mashambulizi kwenye mji mkuu wa Tehran na watawasilisha siraha za maangamizi kuisadia kutokana na mapatano waliyofanya awali. AMbapo IRAN alipeleka teknolojia ya drone za Shaheed, na makombora kumsaidia Urusi vita ya Ukraine. Alienipa taarifa za ndani kabisa, ni...
  9. JamiiForums Tanzania China Yazindua Samaki wa Roboti wa Kibioniki kwa Uhifadhi wa Mito na Mazingira

    China imetengeneza samaki wa roboti wa kibioniki kusaidia katika uhifadhi wa mito na ufuatiliaji wa mazingira. Samaki huyu wa kisasa umetengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Wuhan na unatumia akili bandia (AI) kuiga mienendo ya samaki halisi huku ukikusanya taarifa kuhusu ubora wa maji...
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na China kuongeza nguvu katika diplomasia ya uchumi

    TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mpunga chotara wa China waimarisha usalama wa chakula nchini Madagascar

    China na nchi za Afrika zimekuwa na uhusiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na uhusiano huu unagusa maeneo mbalimbali ikiwemo elimu, biashara na uchumi, sayansi na teknolojia, ujenzi wa miundombinu, kilimo, na maeneo mengine mengi. Kupitia ushirikiano kati ya pande hizo mbili, nchi nyingi za Afrika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  16. JamiiForums Tanzania Utapeli wa wafanyabiashara wanaoagiza Bidhaa China

    Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake. Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi...
  17. JamiiForums Tanzania TRUMP: Nampenda Xi Rais wa China lakini ni mgumu katika kufanya makubaliano Trump asema

    Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia virais vya nchi masikini kama Tanzania. Donald J. Trump Truth Social 06.04.25 02:17 AM EST I like...
  18. JamiiForums Tanzania USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
  19. JamiiForums Tanzania China imezindua bunduki mpya, inatumia umeme inatoa risasi 3,000 kwa dakika

    China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida. Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za...
  20. JamiiForums Tanzania No US (Student) VISA until further notice, China ndio inapige kelele na kulia lia

    Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa CHAKUSHANGAZA China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…