china

  1. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 ๐Ÿ—๏ธ 1. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China โ€“ 1,005 Mt 2. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India โ€“ 149 Mt 3. ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan โ€“ 84 Mt 4. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ U.S. โ€“ 80 Mt 5. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€“ 71 Mt 6. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea โ€“ 64 Mt 7. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Tรผrkiye โ€“ 37 Mt 8. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany โ€“ 37 Mt 9. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil โ€“ 34 Mt 10. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran โ€“ 31 Mt ๐ŸŒŽ Rest of the World โ€“ 293Mt (in...
  2. JamiiForums Tanzania China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

    China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji. Washington na...
  3. JamiiForums Tanzania New law on divorce in China

    China has a new divorce law effective 1 February 2025. Previous all properties owned by either spouse will be equally divided during divorce, now the rule is a lot simpler. Whoever paid for it owns it after divorce even if the wife's name was added to the title after marriage. And houses...
  4. JamiiForums Tanzania Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

    Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha...
  5. JamiiForums Tanzania Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

    Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto. Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon. Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
  6. JamiiForums Tanzania China na Marekani zalegeza masharti ya kibiashara

    China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China. Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
  7. JamiiForums Tanzania China, Iran, Urusi zajadili ushirikiano sekta ya ulinzi

    Mawaziri wa Ulinzi wa mataifa ya China, Iran na Urusi wanakutana kwa ajili ya mazungumzo yanayohusu masuala ya ulinzi mapema Alhamisi katika mji wa Qingdao, China siku kadhaa baada ya Iran na Israel kusitisha mapigano. Waziri wa Ulinzi wa China, Dong Jun ameyataja mazungumzo hayo kuwa ni ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China โ€“ Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Daktari wa China akumbukwa nchini Tanzania kwa kujitoa muhanga kishujaa

    Daktari wa ganzi wa China, Zhang Junqiao, aliwahi kusema kwamba "Bila kujali utaifa au rangi, ninachothamini zaidi ni maisha," Asubuhi ya siku ya Ijumaa, zaidi ya watu 300 walikusanyika huku kukiwa na kimya kizito katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Tanzania, na...
  10. JamiiForums Tanzania China wanatoa vyuma vikali aisee: Imezinduliwa Li Auto i6, SUV moja ya kibabe sana!

    Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD. Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China

    Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 19 Juni, 2025. Akiwa nchini China, Mheshimiwa Waziri Kombo aliongoza...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaiomba China iisihi Irani isifunge Strait of Hormuz

    The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz. WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage Iran to not shut down the Strait of Hormuz after Washington carried out strikes on Iranian nuclear...
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza kumshinda Marekani bila nguvu za kijeshi mfano China anaenda taratibu lakini kwa umakini mkubwa

    Kumshinda marekani kupitia nguvu za kijeshi haitoshi pekee. Maadui zake marekani wanapaswa kujiza titi kupitia nguvu za kiuchumi na kiteknolojia ili kumshinda marekani na washirika wake. Unapokuwa na uchumi mkubwa ni lazima tu suala la ulinzi nalo litakuwa Imara. Watu husema wachina ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  16. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
  18. JamiiForums Tanzania Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

    Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu. Takwimu zilionyesha kuwa katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania China yapiga marufuku 'Chip' za NVIDIA kutoka Marekani, sasa kujitegemea kabisa katika teknolojia

    China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea teknolojia kutoka Marekani. Badala yake, China imeamua kujiamini na kuanza kujenga teknolojia zake...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Korea kaskazini pekee inaweza lindwa na china nchi zingine ni marafiki msaada utategemeana na hali ya vita

    Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo. Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953. China currently has a defense treaty with North Korea. This treaty, officially titled the "Treaty on Friendship, Cooperation and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ