china

  1. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye jaribio la Trump kuiondoa China kwenye mfereji wa Panama limefeli

    Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani: "China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha." – Trump (March, 2025) Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya...
  2. JamiiForums Tanzania Trump alivyofeli kuitenga China kwa kuitumia Urusi

    Naam wakuu zile mbwembwe za Trump kujifanya na urafiki na Putin ilikuwa lengo lake kuu ni kuharibu uhusiano wa China na Russia. Trump alitaka kuitumia Russia kitenge china na kuhamia usuhuba wake America. Hii ni kutokana na Trump anaigopa nguvu ya kiuchumi inayokua kwa kasi ya china lakini...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni za magari ya umeme za China zafungua uwezo wa nchi za Afrika huku zikijizolea soko la magari ya umeme

    Kampuni za kutengeneza magari za China zinajitahidi kadiri ziwezavyo kufungua uwezo wa nchi za Afrika, huku zikitilia maanani magari ya umeme na nishati mseto, wakati ambapo vikwazo vya kuuza magari katika nchi za Marekani na Ulaya vikifanya makampuni haya kutafuta masoko mapya. Ingawa Afrika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Timu ya matibabu ya China yapeleka huduma za afya bila malipo katika wilaya ya mpakani ya Uganda

    Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi. Kwa wiki kadhaa, wanakijiji katika eneo hili linalopakana na mashariki mwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yahimiza maendeleo ya matumizi ya Akili Bandia barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uwekezaji wa China katika miundombinu ya kidijitali, vituo vya data na nishati umekuwa ukiongezeka kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani. Wakati maendeleo ya matumizi ya akili bandia duniani yakipiga hatua na kufika kwenye miji ya Afrika, huku China ikiibuka kuwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa masuala ya bahari kati ya Namibia na China umepata maendeleo makubwa

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa na ushirikiano wa karibu na nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Ushirikiano huu unajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo elimu, uchumi na biashara, utamaduni, ujenzi wa miradi mikubwa ya miundombinu, na pia mabadilishano ya watu na watu...
  8. JamiiForums Tanzania Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
  9. JamiiForums Tanzania Ubalozi wetu China unamchango gani katika kuwatafutia masoko wa kulima KWA mazao ambayo yameruhusiwa kuingia CHINA Bure?

    Nasikia Tanzania umepata fursa ya kupeleka china Bure ( bila kukatwa ushuru etc) KWA maZao 18 ya kilimo. Nimemsikia jamaa mmoja TikTok anadai ni muwakilishi wa watanzania wanaoishi china akisifia jambo hilo. Ilipokuja suala la masoko ya kupeleka hizo Bidhaa akaanza kujiumauma, mara watu sijui...
  10. JamiiForums Tanzania China kujenga bwawa kubwa zaidi duniani Tibet kwa gharama inayozidi bajeti ya mataifa kadhaa Afrika

    China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
  11. JamiiForums Tanzania China imefungia Mtandao wa Onlyfans ikitaja kuwa chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili

    Serikali ya China imefunga rasmi jukwaa la OnlyFans, ikilitaja kuwa ni mfano wa mmomonyoko wa maadili kutoka Magharibi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jukwaa hilo kufunguka kwa muda mfupi bila VPN, hali iliyozua hisia kuwa huenda sera zimelegezwa, lakini marufuku ikarejeshwa haraka China...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  13. JamiiForums Tanzania Dira ya Tanzania ya 2050 imeandikwa na China?

    Kwamba miaka 25 ijayo ndiyo tutaweza kuwa low middle income country, ndiyo tutaweza kujilisha, yaani miaka 25 ndiyo tuanze kuwa China ilipokuwa miaka ya 70? Mambo mengi hiyo dira yanaweza kutatuliwa ndani ya miaka 5 tu with a good leadership kwanini tusuburi miaka 25 ? Kwa hiyo mpaka tufike...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki...
  15. JamiiForums Tanzania NVIDIA Kuendelea kuuza Chip za H20 China, Ni ishara kuwa sera za Trump zinachemka?

    Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu), kampuni hiyo ilisema inawasilisha maombi ya leseni kwa serikali ya Marekani ili kuruhusu mauzo ya GPU...
  16. JamiiForums Tanzania China yaahidi kuendelea kuisaidia Urusi

    Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote. Xi amesema China na Urusi zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuziunganisha nchi za kusini mwa dunia na kukuza...
  17. JamiiForums Tanzania China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wewe unakwenda China, Wachina wanatoka China kuja kutafuta fursa kijijini kwako!

    Wewe upo China, wachina wapo kijijini kwako! Ni ajabu embu sikiliza kidogo hapo kutoka kwa Anthony Mtaka.
  19. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
  20. JamiiForums Tanzania China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…