china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Andrea Kifyasi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam asema, ushirikiano kati ya China na Afrika kupita BRI unachochea maendeleo ya Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano kati ya China na nchi mbalimbali za Afrika umezidi kuwa wa kina, maeneo ya ushirikiano yamepanuliwa kutoka siasa kama ilivyokuwa kwenye miaka ya 70, na kugusa karibu sekta zote kwa sasa, hali ambayo imekuwa na msukumo wa maendeleo ya nchi za Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Ajali ya moto China: 128 wafariki dunia, 200 hawafahamiki walipo

    Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa bado hawajulikani walipo. Zaidi ya watu 79 wamejeruhiwa, na juhudi za uokoaji zinaendelea huku miili...
  3. JamiiForums Tanzania Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

    Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Picha za Kihistoria ya "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu Unadumu” Yasawiri uhusiano wa Miaka 65 wa Somalia na China

    Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
  5. JamiiForums Tanzania Vizuizi havizuii maendeleo ya China, na ushindani wenye haki ni njia sahihi

    Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za China wa mwaka 2025. Ripoti hiyo inaona kuwa, baada ya juhudi za miaka kumi, uwezo wa uvumbuzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa historia Tanzania apongeza mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka 5 wa China

    Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030). Pamoja na mambo mengine mpango huo una malengo manne makubwa, ambayo ni kuhimiza ongezeko la uchumi na...
  9. JamiiForums Tanzania Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  10. JamiiForums Tanzania 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗸𝘄𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗮𝗶𝘀𝗲𝗲𝗵!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa 👇
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  12. L

    JamiiForums Tanzania "Dhahabu ya kijani" ya Tanzania itakayooneshwa kwa mara ya kwanza katika maonesho ya uagizaji ya China kuleta matumaini na urafiki mkubwa

    Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri. Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka darasani hadi kwenye kilimo, ushirikiano wa China na Rwanda wakuza biashara ya kilimo ya uyoga ya Rwanda

    Katika vilima vya kijani vya tarafa ya Bumbogo, wilaya ya Gasabo, nje kidogo ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, kilimo cha uyoga na ujasiriamali vinazidi kustawi, vikibadilisha maisha na kuboresha mapato ya wananchi. Katika kiini cha mabadiliko haya yupo mwanzilishi na mmiliki wa Triple S Company...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  15. JamiiForums Tanzania China Kuweka Sharti la Mafunzo kwa Washawishi Mtandaoni (Influencers) Wanaojadili Mada Nyeti kama Tiba na Fedha

    Mamlaka ya Usimamizi wa Mtandao wa China (Cyberspace Administration of China) imeweka masharti kwa washawishi mtandaoni pamoja na mitandao mikubwa ya kijamii nchini humo. Huu mpango umependekezwa na Mamlaka ya Mtandao wa Intaneti ya China (CAC), ambayo ndio msimamizi mkuu wa mitandao nchini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa maendeleo wa China na Afrika(CAD-Fund)wahimiza maendeleo ya pande zote barani Afrika

    Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika (CAD-Fund) ulianzishwa kwenye juni mwaka 2007, kwa lengo la kuitikia mahitaji ya ukosefu na fedha na uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika. Katika muda wa miaka 18 tangu kuanzishwa kwake, mfuko huo umetatua changamoto nyingi za kifedha...
  17. JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  18. JamiiForums Tanzania China yashinda shambulio la kimtandao la Marekani dhidi ya “Saa za Beijing”

    Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
  19. JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshini: Rais wa China awatimua vigogo 9

    Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa Jeshi la Wanamaji. Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya China. Maafisa hao wamefukuzwa...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Imefikia hatua Ulaya inataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia Ulaya. How the table has turned!

    Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo. Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…