chimbuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namna ambavyo freemasonry walivyo kuwepo kabla ya 1717

    Kuna vyanzo vingi vinavyo elezea kuwepo kwa freemasonry Kabla ya 1717, vyanzo hivyo ni vingi, vinahitaji muda na uyakinifu ilikuweza kutofautisha baina ya almasi na vipande vya vioo. Kuna vilivyo andikwa kwa nia nzuri tu, kuna vilivyo andikwa kwa ajili ya kupotosha, na kuna vilivyo andikwa na...
  2. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  3. S

    Ni kweli Undugunazisheni serikalini ndio chimbuko la wizi na ufisadi mkubwa serikalini?

    Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na ufisadi. wamesema watuhumiwa wa ufisadi wanashindwa hatua kutokana na baadhi yao kuwa na mafungamano na...
  4. Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

    Mwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad. SUHAYLA SALHA RUKAIYA FALHIA ZALHIYA .........HIA .........HIA.........Hia.........hia. N.k
  5. Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

    Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake. Mtei Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere. Bob Makani Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa...
  6. M

    Hili ndilo chimbuko la maji duniani

    Mzuka Wanajamvi! Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio maji. JF CEO of water Source, Heritage and conservation. Masters John Hopkins
  7. Je Mbeya ndiyo chimbuko la hiphop hapa Tanzania?

    Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni mzaliwa na mkazi wa Mbeya kabisa. Kuna mtu kama Prof J, Advance kasoma shule ya Lutengano Mbeya...
  8. Chimbuko la neno Kwampalange

    Kwa Mpalange Ni neno maarufu sana nyakati hizi ukizingatia utandawazi umekuwa kwa kasi sana Neno Kwampalange limekuwa likitafsiriwa kwa maana chanya na hasi Kwa upande chanya Kwampalange ni sehemu ya Buza ikiwa kama kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye...
  9. Mgeni Siku ya Kwanza (Ni wapi Chimbuko la hili Shairi la Kale)

    Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na panza; mtilie kifuani, mkaribishe mgeni. Mgeni siku ya pili mpe ziwa na samli; mahaba yakizidia, mzidishie mgeni. Mgeni siku ya tatu jumbani hamuna kitu. mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni. Mgeni siku ya nne mpe jembe akalime. akirudi muagane, aende kwao...
  10. Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko lao ni kutoka kusini mashariki mwa Asia

    INDIAN RUNNER DUCKS Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA. Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo chini , kinacho watofautisha na Bata wengine ni nature ya miili yao miembamba na shingo ndefu...
  11. Chimbuko la maneno

    Nini chimbuko la maneno haya mawili: 1. Tafsiri 2. Mawasiliano Kwa wataalamu wa kiswahili
  12. Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…