chief

The chief justice is the presiding member of a supreme court in any of many countries with a justice system based on English common law, such as the High Court of Australia, the Supreme Court of Canada, the Court of Final Appeal of Hong Kong, the Supreme Court of India, the Supreme Court of Ireland, the Supreme Court of Japan, the Supreme Court of Nepal, the Supreme Court of New Zealand, the Supreme Court of Nigeria, the Supreme Court of Pakistan, the Supreme Court of the Philippines, the Supreme Court of Singapore, the Constitutional Court of South Africa, the Supreme Court of the United States, and provincial or state supreme courts/high courts.
The situation is slightly different in the three legal jurisdictions within the United Kingdom. The courts of England and Wales are headed by the Lord Chief Justice of England and Wales; in Northern Ireland's courts, the equivalent position is the Lord Chief Justice of Northern Ireland, and in the courts of Scotland the head of the judiciary of Scotland is the Lord President of the Court of Session, who is also Lord Justice General of Scotland. These three judges are not, though, part of the Supreme Court of the United Kingdom, which operates across all three jurisdictions and is headed by the President of the Supreme Court of the United Kingdom.
The chief justice can be selected in many ways, but, in many nations, the position is given to the most senior justice of the court, while, in the United States, it is often the President's most important political nomination, subject to approval by the United States Senate. Although the title of this top American jurist is, by statute, Chief Justice of the United States, the term "Chief Justice of the Supreme Court" is often used unofficially.
In some courts, the chief justice has a different title, e.g. president of the supreme court. In other courts, the title of chief justice is used, but the court has a different name, e.g. the Supreme Court of Judicature in colonial (British) Ceylon, and the Supreme Court of Appeals of West Virginia (in the US state of West Virginia).

View More On Wikipedia.org
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huyu Chief God Love ikiwa kuandika tu hajui je anaweza kuongea nini mimi nikamsimiliza huyu anafaa kusikilizwa na watu wenye Elimu ndogo kama yake

    Huyu Kijana nimekuwa nikimuona Ana brag anawatukana wakenya kuwa hawana pesa n.k Ila sasa MTU ambaye hajui matumizi ya H na A na hajui matumizi R na L unaweza kumsikiliza. Huyu ni motivation speaker wa vijana ambao wameishia form four na darasa la Saba Kama yeye.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vacancy: Chief of Finance and Administration

    For further information, please download the attachment
  3. KiTanzania

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wasukuma Mliokuwa na mashaka na Rais Samia Kwa Uanamke Wake Sasa Yeye Ndio Chief Wenu Mkuu Wasukuma Wote akiwemo Gwajima na Mpina

    Tazama, nasubiri kusikia Mpina na Gwajima wakiukana usukuma wao ila Mungu humpa chochote yoyote amtakaye. Hongera Mama Samia kipenzi Cha Wasukuma na Kanda yote ya ziwa. SAMIA MITANO TENA# Kwa taarifa tu, Hii fimbo inamaana ya Mamlaka ya juu kabisa - Kisukuma
  4. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania

    Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania. Wimbo unaitwa "GOD HAS SEEN ME" ni moja Kati ya mkwakuju mkali kwa mwaka huu, kafanya featuring na LORD eyez, unju bin unuk, one six, mawenge na stamina. Humo ndani wasanii wote wamekanyagia ngoma kubwa kilicho...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei appointed Mohammad Karami as the new Islamic Revolutionary Guard Corps ground forces chief

    15 minutes ago Khamenei appoints new Revolutionary Guards ground forces chief Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei appointed Mohammad Karami as the new commander of the Islamic Revolutionary Guard Corps’ ground forces, state media reported Thursday. Karami previously led the Quds Headquarters of...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane JF kuhusu hili: Wewe ulitegemea nani awe Chief Justice?

    Tupeane mawazo kidogo maana tumekuwa stunned na what happened! Mimi Nilitegemea hawa (but not limited to) kwa kusoma hukumu zao and their power of reasoning being very high! 1. Mugasha, Mkuye, Mwandambo, Mwarija
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Dudukwe awa mgeni wa Kaizer Chief

    Communication/social network is power
  8. kiraza

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

    Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
  9. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la Chief Godlove linafikirisha!

    1. Huyu mwamba achunguzwe vizuri usikute anasajilli watu kwenye vikundi vya uhalifu mitandaoni (Scammers) au mapenzi ya jinsia moja. 2. Mtu haelewek anafanya shughuli gani za kiuchumi ila lifestyle ya juu kwa kuegemea Magari huku akibwata tafuta hela tafuta hela. 3. Hilo jicho la tatu ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chief Godlove anachekesha kwamba kujiunga na jicho la tatu ni 150k😂😂

    Kuna vitu vinachekesha. Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁. Na huwezi amini kuna watu wanajaa. Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete. Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Max Nzegeli ni Chief of Staff wa Yanga

    Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
  15. L

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

    Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao. Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾 Mfano: 1. Mtu anakuambia njoo...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Chief of staff wa Makamu wa Rais Dkt. Mpango ni nani?

    Hellow wakuu, Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of staff. Chief of staff ndio mtu wa karibu zaidi na boss yeye ndiye huhusika na mipango yote ya Mheshimiwa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali haimuoni Chief Godlove ?

    Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove. Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao. Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  19. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Polisi au TRA mkamateni haraka Chief Goodlove atoe maelezo chanzo cha hivyo vijisenti vyake

    Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi. Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340, Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya...
Back
Top Bottom