chelsea

  1. JamiiForums Tanzania Chelsea yaingiza dola milioni 150 baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu, ambalo tiketi zake zote ziliuzwa. Huenda FIFA hawakukosea!

    Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza? Ikumbukwe kuwa kupitia mashindano haya, Chelsea imevuna kiasi cha dola milioni 50, huku mashindano yote yakihitimishwa kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea 3 – 0 PSG: Bahati hupendelea jasiri

    Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea walifunga magoli na hivyo walistahili kushindi mchezo wa jana. Lakini inakuwaje timu ambayo kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

    Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa. Lakini hoja yangu ni hii : Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani ...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

    Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey. Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
  5. JamiiForums Tanzania Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    MUUE CHELSEA KWA GOLI 5-0 WEKA LAKI LALA
  6. JamiiForums Tanzania Nani kutwaa taji la FIFA Club World Cup 2025, kati ya Chelsea na PSG?

    Wakuu, Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo? Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili, Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa...
  7. JamiiForums Tanzania Oyaa Chelsea Hatuchezi 😥

    Hawa PSG wanapeleka sana moto Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
  8. JamiiForums Tanzania Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

    Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani. Chelsea walionyesha ubora...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi alivyojibadilisha, nusura walinzi wa Chelsea wamzuie Ramirez

    Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki Chelsea mlikuwa mnamlisha mihogo
  10. JamiiForums Tanzania Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

    Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
  11. JamiiForums Tanzania Cole Palmer becomes second-quickest Chelsea star to reach 30 Premier League goals as he joins Stamford Bridge royalty

    COLE PALMER does not yet have the silverware to match modern-day Chelsea legends - but he has become Stamford Bridge royalty in record speed. The 22-year-old capped his 60th Blues appearance with a goal, an assist and a man of the match performance in the 3-0 win over Aston Villa yesterday. It...
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Galatasaray wapagawa kuwasili kwa Osimhen

    Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao. Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Chelsea wanavyoongea mitandaoni unaweza dhani ni Yanga kumbe hamna kitu

    FT Chelsea 1 - 1 Crystal palace Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea lkutangaza utalii Zanzibar

    Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chelsea mbioni kumsajili Jadon Sancho

    Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus. Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili litakalomeleka Sancho Chelsea, hiyo ni kwa kuwa hayumo katika mipango ya Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca Klabu...
  16. JamiiForums Tanzania Pochettino aondoka Chelsea mwaka mmoja tangu aanze kuinoa klabu hiyo

    Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya Magharibi mwa London Klabu hiyo yenye Makazi yake katika Dimba la Stamford Bridge inatarajiwa...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Chelsea 0-1 Liverpool, Carabao Cup Final 23/24, February 25, 2024

    Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London. Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30. Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane. Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Liverpool na Chelsea Leo carabao cup mwamuzi wa kati simuelewi kabisa

    Huyu cancedo amecheza rafu ya ajabu harafu mwamuzi wa kati kaangalia tu!
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

    Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara. Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea wasitafute mchawi: Wanachokutana nacho ni laana ya kumdhurumu Abramovich timu yake!

    Timu Iko hoi taaban! Suluhisho pekee ni kumrudishia timu yake. Vinginevyo endeleeni kula jeuri yenu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…