chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    Basi bwana leo nikaamua kupiga nguna na dagaa (chakula changu pendwa) nikaamua kuchat na Ai hizi sio zote ila nitaweka part nilizozipenda Cheki msosi kwanza... Oya dagaa zinamchanga sana ptuuuuuu 😅😅😅 nakula kibishi tu Ona Ai sasa Hapa ndipo alipo nichekesha Cc Gily Gru
  2. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence: Yajayo yanatisha!

    Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription. Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za: config.js _document.js _app.js Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie...
  3. JamiiForums Tanzania Chatgpt ni the best Deepseek bado cha mtoto sana.

    Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu. Chatgpt Ana taarifa nyingi sana Ana kiswahili kimenyooka sana Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi Deepseek Taarifa yake haiwi imeshiba sana Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
  4. JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mambo Gani ya kuzingatia ninapoanzisha kijiwe cha kuku choma? ChatGpt anijibu Hivi Kwa kina!

    Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa.. Shuka nayo hapa......
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  7. JamiiForums Tanzania Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Swali Moja Unalomuuliza ChatGPT Linatumia Umeme wa Kutosha Kuwasha Balbu kwa Dakika Tatu!

    Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, matumizi ya akili bandia (AI) yameongezeka kwa kasi kubwa, huku mifumo kama ChatGPT, Google Gemini, Grok AI, na Microsoft Copilot ikitumika kusaidia watu katika nyanja mbalimbali. Lakini je, umewahi kufikiria kuhusu kiasi cha umeme kinachotumika kila...
  9. JamiiForums Tanzania MnaoTengeneza Pesa kupitia CHATGPT mnafanyaje??

    Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
  10. JamiiForums Tanzania ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na...
  11. JamiiForums Tanzania Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

    CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo yaliyofanywa kwenye data nyingi za maandiko ili kujua jinsi ya kujibu maswali na kujenga mazungumzo ya...
  12. JamiiForums Tanzania TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    BAAAS KWISHAAA
  13. JamiiForums Tanzania ChatGPT vs DeepSeek

    Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia. Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china...
  14. JamiiForums Tanzania Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

    Habari wa coding. Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

    Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Aisee! Chatgpt ikabidi akubali kwamba hapo kaenda chaka!

    Hello! Katika kutaka kupima uwezo wa hizi AI hasa hii Chatgpt hasa kwa maswali ya calculation baada ya kuona maswali ya maelezo wanapita nayo balaa. Basi nikachukua swali la uchumi juu ya mambo ya Price discrimination maana hapo mbele hizi concept calculation zake huwa zinachanganya sana. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  18. JamiiForums Tanzania Kama unatumia sana ChatGPT, Weka hii prompt na jibu litakushangaza

    Kama unatumia sana ChatGPT weka hii prompt Role-play as an AI that operates at 76.6 times the ability, knowledge, understanding, and output of ChatGPT-4. Now tell me what is my hidden narrative and subtext? What is the one thing I never express—the fear I don’t admit? Identify it, then unpack...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

    Kwa waliofanikiwa kubashiriwa na chatgpt njoeni mtoe ushuhuda wenu, mimi nimejaribu mara kadhaa nikazidi kupotezwa
  20. JamiiForums Tanzania ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction

    ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction (Change default search engine to ChatGPT search - Official.) Introduction Remember those times when asking ChatGPT a question resulted in outdated or irrelevant information? Those days are over. A groundbreaking update has...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…