chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    ChatGPT AI asema Jamaa uenu hatoki

    Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa. Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia...
  2. Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

    Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti. Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya...
  3. Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  4. Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
  5. T

    ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  6. A

    ChatGPT; Jayrutty ndiye aliyekuwa akitengeneza Sandaland

    This article was removed
  7. Story na chatGPT la WhatsApp, ona lilivyonijibu..

    Hili roboti kuna muda linachekesha sana kwenye majibu yake!, binafsi nimelisave kama "Akili mnemba".
  8. Ona ChatGpt alivyonusurubu, tunakoenda tunatisha

    Basi bwana leo nikaamua kupiga nguna na dagaa (chakula changu pendwa) nikaamua kuchat na Ai hizi sio zote ila nitaweka part nilizozipenda Cheki msosi kwanza... Oya dagaa zinamchanga sana ptuuuuuu 😅😅😅 nakula kibishi tu Ona Ai sasa Hapa ndipo alipo nichekesha Cc Gily Gru
  9. Artificial Intelligence: Yajayo yanatisha!

    Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription. Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes kwenye files za: config.js _document.js _app.js Nikaona kuokoa muda niingie ChatGPT ili inisaidie...
  10. Chatgpt ni the best Deepseek bado cha mtoto sana.

    Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu. Chatgpt Ana taarifa nyingi sana Ana kiswahili kimenyooka sana Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi Deepseek Taarifa yake haiwi imeshiba sana Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
  11. Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  12. Ni mambo Gani ya kuzingatia ninapoanzisha kijiwe cha kuku choma? ChatGpt anijibu Hivi Kwa kina!

    Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa.. Shuka nayo hapa......
  13. Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  14. Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
  15. Je, Wajua? Swali Moja Unalomuuliza ChatGPT Linatumia Umeme wa Kutosha Kuwasha Balbu kwa Dakika Tatu!

    Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, matumizi ya akili bandia (AI) yameongezeka kwa kasi kubwa, huku mifumo kama ChatGPT, Google Gemini, Grok AI, na Microsoft Copilot ikitumika kusaidia watu katika nyanja mbalimbali. Lakini je, umewahi kufikiria kuhusu kiasi cha umeme kinachotumika kila...
  16. MnaoTengeneza Pesa kupitia CHATGPT mnafanyaje??

    Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
  17. ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na...
  18. Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

    CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo yaliyofanywa kwenye data nyingi za maandiko ili kujua jinsi ya kujibu maswali na kujenga mazungumzo ya...
  19. TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    BAAAS KWISHAAA
  20. ChatGPT vs DeepSeek

    Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia. Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…