chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Nini Chanzo na Tiba ya Mafua kwa watoto wachanga?

    Habari! Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima. Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa. Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu. Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje? Natanguliza shukrani!
  2. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha nyumba nyingi zinazojengewa Tanzania kubaki mapagala yaliyogeuka magofu?

    Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na hatimaye kugeuka magofu. Tatizo huwa ni nini? Ni ujenzi wa kukurupuka? Ujenzi bila kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Iraq (babylon) chanzo cha maasi duniani

    Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶 Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates Dhambi au uasi ulianzia hapa na hawa watu na kusambaa duniani kote Eneo hili ndipo Adam alimuasi Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  5. JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  6. JamiiForums Tanzania Sukari na vyakula vya wanga chanzo Cha magonjwa mengi yasioambukiza

    Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu. Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k. Utunzwaji...
  7. JamiiForums Tanzania Undani wa biashara ya utumwa je ni waarabu au wazungu ndiyo chanzo? Soma hapa

    I salute you kinsmen.! Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi . Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.! Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
  8. JamiiForums Tanzania Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu

    Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu Ijumaa, Agosti 16, 2024 Kamishna wa Mamlaka ya mapato nchini (TRA) akizungumza na wafanyabiashara mjini Geita katika kikao kilicholenga kusikiliza kero zinazowakabili wafanyabishara wa mkoa huo. By Waandishi Wetu & Rehema Matowo Muktasari...
  9. JamiiForums Tanzania Upungufu wa funds au fedha ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF siyo shida ya kiungozi ndani ya mfuko

    Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha Hizi sababu za kukopeshana ili kuboresha maisha ya watumishi ,ufisadi hata hizo pesa zikirudi Mfuko hauwezi kujisimamia na cha zikaisha Serikali iangalie utaaratibu wa kuongezea mfuko fedha...
  10. JamiiForums Tanzania Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  11. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wazazi Masikini ni chanzo cha migogoro mingi kwenye ndoa za watoto wao.

    Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho mbaya. Sijui kwa enzi za mababu zetu ila maskini wa leo hii ni ngumu mno kuiona pepo. HAIWEZEKANI...
  13. JamiiForums Tanzania Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  14. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Ajira chanzo cha Maovu

    ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji. Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa. Serikali iendelee kuzalisha ajira...
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
  16. JamiiForums Tanzania Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  17. JamiiForums Tanzania Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na jamii kwa ujumla na wengi wetu tukafanya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Submarine network kutoka Lebanon to Cyprus ndio chanzo ya kuwauwa Macommander Wa Hezbullah

    Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote. Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo. ---...
  19. JamiiForums Tanzania Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

    Wengi wanaona Watanzania ni legelege au hawatambui haki zao ndiyo maana hawachukui hatua dhidi ya maamuzi ya wanasiasa. Wanatamani vijana wetu wangekuwa kama vijana wa Gen Z wa Kenya ambao kwa siku mbili wameteketeza mali zenye thamani ya mamilioni kwa hasira za financial bill 2024. Matajiri...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Picha Kuwa Mamlaka Inamuhofia Mwigulu Ndio Chanzo cha Migogoro Kuwa Endelevu

    Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye mkutano ule alitoa ahadi kadhaa za utatuzi mbele ya waziri mkuu. Ajabu, kama asemavyo CG wa TRA ni kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…