Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya.
Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...