House4Sale Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula, Dar es Salaam

Chiclette

New Member
Feb 17, 2024
3
1
Habari Wana JF,

Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba vitano, Stoo, na choo chake.

Bei ni milioni tisini (90,000,000)
Whatsapp 0622905303
Au nipigie 0658436435
Bei inapungua.
 
Nyumba yenyewe imechakaa hivyo, halafu tayari ina nyufa kwenye upande wa jikoni hapo ndo uuze bei hiyo!
 
Eneo nusu heka gani hiyo mbona upande wakulia hapo imebana ukutani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom