Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania.
Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu yangu ni kidato cha sita. Kazi ikiwa maeneo ya Chanika, Kisarawe, Pugu, Gongo la mboto, Mbagala...