changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto zinazotokana na vita Iran ni Fursa kwa waTanzania wanaonyanyaswa

    Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari. Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi. Baadhi ya mataifa...
  2. JamiiForums Tanzania Kujichua ni changamoto kwa taifa, hali ni mbaya

    Ni huzuni kubwa kwa masikito makubwa jana sikukuu ya pasaka kuna kijana amekutwa amekufa akiwa anajichua, alikuwa akiishi pekee yake mpaka umauti ulivyomkuta, kwa mujibu wa majirani wanasema alikuwa akiishi peke yake , wana jamii forum ni ukweli usiopingika wimbi la vijana kujichua limekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Nanunua laptop zilizo na changamoto

    KAMA UNA LAPTOP INA TATIZO AU UMEICHOKA ILETE NIKUPE PESA, BEI MAELEWANO HATUTOSHINDWANA NIPO ILALA - DSM call: 0767953873 whatspp: 0639994549
  5. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu. Hawana changamoto yoyote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto za Tanzania ambazo hazitakuja kutatuliwa kamwe

    1. Shida ya maji 2. Mafuriko wakati wa mvua 3. Changamoto ya Ajira 4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela 5. Uongozi mbovu 6. Foleni Dar es Salaam 7. Ukosefu wa demokrasia
  8. JamiiForums Tanzania RC Mtanda aomba radhi Wananchi kwa changamoto ya Barabara ya MECCO-KANGAYE, yaanza kuboreshwa

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya Barabara ya Mwanza Mjini hadi Kangaye kwamba ni mbovu na magari mengi hayapiti, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa Watumiaji na kuwaongezea gharama ya matumizi ya nauli, Serikali imetoa ufafanuzi. Alichoandika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya N-CARD kwa wakazi wa Kigamboni

    Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ? Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii tunapata changamoto ya upataji wa Ajira kupitia Ajira Portal, hautambui kozi zetu

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

    Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Responded Working permit zaidi ya wiki sasa mtandao unasumbua haufunguki, nini shida?

    Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow vibaya mno, ila sasa ni zaidi ya wiki website haipatikani kabisa.. ukiwapigia wanasema wanafanya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  19. JamiiForums Tanzania Vita iliyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran yaleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi duniani, umbali si dhamana ya usalama. Bara la Afrika lina wasiwasi mkubwa: ingawa halitahusika...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupost mara 8 (minimum) kwa siku 5 za wiki - JIUNGE!

    Hii ni kwa wajasiriamali vichwa moto, na wenye kutaka kukuza biashara zao mwaka huu. Lengo: kufikia watu wengi zaidi na kuuza bidhaa/huduma (hakuna ada ya ushiriki -(labda mbeleni), hivyo wewe tu na JITIHADA zako) Utaratibu: 1. Anza kwa kuandaa vifaa (simu yenye camera yenye mwanga, hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…