Habari za wakati huu
Kwa mujibu wa mwenendo wa maisha ya leo, ambapo athari nyingi hasa za kimfumo wa uzazi zinamwangukia mwanamke, ni vyema kuona anapata watoto mapema.
Ni nadra kwa mwanamke wa miaka 35 ambaye hajawahi kuzaa, apate ujauzito kirahisi. "Kuzaa ni afya" kwa mujibu wa daktari...