changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa). Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka...
  3. JamiiForums Tanzania Tuishi hivi kujiepusha na changamoto za akili

    Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani. Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika! Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront Him/Her immediately. Usile Chakula cha Mtu zaidi ya aLIvyokula cha Kwako! Punguza vile unawatembelea Watu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

    Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais. Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais? Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya laptops zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli ni kwamba laptop hizi zimekuwa na changamoto kubwa. Hadi sasa, laptop yangu imeharibika licha ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja

    Wakuu tupeane michongo Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja
  7. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Kitete (Tabora) yasema inafanyia kazi changamoto ya kukosekana kwa Vifungashio vya Dawa

    Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
  8. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Tunafahamu changamoto ya Maji katika baadhi ya maeneo Nyegezi, tunaifanyia kazi

    Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

    Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani . Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa. Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne. Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant . Nina Cheti cha form...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya mikopo kupitia app yao mpya imekuwa changamoto kwetu wanachuo kusaini malipo ikiwa ni ada pamoja hela ya kujikimu

    Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuleta changamoto mpya chadema, Tundu lisu asigombee urais amuombe mwabukusi agombee

    Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema. Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu. Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
  13. JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yainua Bajeti ya Kilimo hadi Trilioni 1.3 wakati Dunia ikikabiliwa na changamoto za Mavuno!

    Tanzania imefanya hatua kubwa kwa kuongeza bajeti ya kilimo hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.3, ikiwa ni ongezeko kubwa linalolenga kukabiliana na changamoto za mavuno zinazoikumba dunia. Hatua hii ni sehemu ya jitihada za serikali kuimarisha sekta ya kilimo, ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5 mwaka 2024 ukikabiliwa na changamoto mbalimbali

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani. Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Car4Sale NISSAN SERENA. Bei 4.5 boss asigushwe haina changamoto njoo washa na kuondokà... 0712378559

  17. JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya toyota allex kutowaka baada ya ingine kupata normal temperature

    Wakuu habari, Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wanaopitia Changamoto ya watoto kulia Usiku fanya yafuatayo

    Kuhakikisha mtoto wako halii usiku ni changamoto ya kawaida kwa wazazi wengi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa kuna mbinu zinazoweza kusaidia Hakikisha mtoto ana ratiba ya kulala inayofuatwa kila siku. Mfano, kumnywesha maziwa, kumnawisha, na kumweka kitandani kwa wakati mmoja kila siku Tumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…