changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Faida na changamoto za magari yanayotumia cng ( compression natural gas) part 1

    Part 1: Faida na Changamoto za Magari ya CNG Faida za kutumia CNG: Gharama ya kujaza ni ndogo, unaokoa hadi 50% ukilinganisha na petrol/diesel. Inapunguza uchafuzi wa hewa — moshi kidogo, mazingira safi. Inapunguza uchakavu wa injini kwa sababu CNG inaungua safi. Ukiwa na dual system...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu havibadiliki

    Mara nyingi tunapokua, tunapitia changamoto, mafanikio, au kupata maarifa mapya, mtazamo wetu kuhusu maisha huanza kubadilika. Hali hii hufanya tuone vitu kwa jicho tofauti, hata kama hivyo vitu havijabadilika kabisa. Mlima tuliozoea kuuona kila siku ukiwa kama kivuli kwenye maisha yetu, ghafla...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  4. JamiiForums Tanzania Video:-Mbunge hadi anafikia hatua ya kusema hivi bungeni ni kwamba huko jimboni kwakwe hakuna changamoto yoyote ile?

    Hata kama pengine bungeni kuna muda wa kuchekesha au kusema utumbo utumbo ndo useme hivi kweli ? Mwisho wa siku ulipwe posho ?
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel leo Kuna Changamoto?

    Wakuu tangu leo asubuhi naona mtandao wa Airtel unasumbua nini Changamoto?
  6. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni: Bukoba manispaa Karagwe Ngara Biharamlo Muleba Kyerwa Misenyi Bukoba vijijini
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  10. JamiiForums Tanzania Binafsi kama mwanamke hajabarikiwa Nyuma ni changamoto sana

    Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
  11. JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  12. JamiiForums Tanzania DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

    UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta. Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini huyu Ndugu kuhusu Changamoto hii anayopitia kwenye Ndoa yake?

    Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada, Namzungumzia mshikaji wangu, ambaye sio member wa humu ila alinijia kuomba ushauri. Mshikaji anasimulia.... "Kabla ya kumuoa huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  15. JamiiForums Tanzania Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

    Habari wanajukwaa. Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine. Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na reaction zake linapokuja swala la kutu. Uimara wa milango yenye na vitasa vyake. Pia tuangalie na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto za "No Reforms No Elections"

    Ninavyoelewa mimi ni kuwa kama hapatakuwa na mabaliko katika mfumo na utaratibu wa chaguzi zetu basi hapatakuwa na uchaguzi. Kimsingi sio wazo baya ila panahiajika ufafanuzi. Nina mawazo yafuatayo: 1. Nani ataamua kuwa reform zilizofanyika ni za dhati na zitaleta kweli mabadiliko. K.m...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  18. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Changamoto Sana

    Jana jumamosi saa 6 mchana Nilifanya muamala airtel money pesa ya kununua ticket ya kusafiria jana usiku kwenda kusheherekea Eid Mkoa fulani. Airtel walikata hela ya nauli na ada yao ya huduma Tsh 900 kwa huduma hiyo. Hadi nafika kituoni kupanda basi jana saa 4 usiku muamala haujakamilika na...
  20. JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo. Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…