changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  2. Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu. Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
  3. Hivi pesa ni tatizo au changamoto?

    Mara paaaap unaulizwa kitu gani kinachokukwamisha? I know you will stick on the point of financially,so Unazani kwa fikra zako pesa ni tatizo au changamoto kwetu? Tujifunze kiswahili na fikra kidogo
  4. R

    Ndoa ni changamoto

    Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza. Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
  5. R

    Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  6. PreGE2025 Changamoto ya usafiri

    Hivi changamoto ya usafiri serikali inaiona kwa upande wa dar es Salaam, Maana usafiri ni kiungo muhimu cha maendeleo na usafirishaji wa haraka. Mnalionaje hili ?
  7. PreGE2025 Geofrey Kiliba: Wanaokosoa ziara za TAHLISO huenda wana uelewa mdogo tunachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba amewajibu wale waliokosoa ziara yao kama taasisi kutembelea wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mikoani, wamesema wanachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini. Ndg Kiliba amesema katika kazi...
  8. Faida na changamoto za AI (Akili Mnemba)

    AI: Akili ya Bandia – Faida na Changamoto Zake Akili ya bandia (AI) ni teknolojia inayoweza kujifunza, kufikiria, na kutenda kama binadamu, lakini kwa kasi na ufanisi mkubwa zaidi. Inajumuisha mashine zinazojifunza, usindikaji wa lugha, na utambuzi wa picha, na inatumika katika sekta mbalimbali...
  9. R

    Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  10. Faida na changamoto za magari yanayotumia cng ( compression natural gas) part 1

    Part 1: Faida na Changamoto za Magari ya CNG Faida za kutumia CNG: Gharama ya kujaza ni ndogo, unaokoa hadi 50% ukilinganisha na petrol/diesel. Inapunguza uchafuzi wa hewa — moshi kidogo, mazingira safi. Inapunguza uchakavu wa injini kwa sababu CNG inaungua safi. Ukiwa na dual system...
  11. Vitu havibadiliki

    Mara nyingi tunapokua, tunapitia changamoto, mafanikio, au kupata maarifa mapya, mtazamo wetu kuhusu maisha huanza kubadilika. Hali hii hufanya tuone vitu kwa jicho tofauti, hata kama hivyo vitu havijabadilika kabisa. Mlima tuliozoea kuuona kila siku ukiwa kama kivuli kwenye maisha yetu, ghafla...
  12. Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  13. Video:-Mbunge hadi anafikia hatua ya kusema hivi bungeni ni kwamba huko jimboni kwakwe hakuna changamoto yoyote ile?

    Hata kama pengine bungeni kuna muda wa kuchekesha au kusema utumbo utumbo ndo useme hivi kweli ? Mwisho wa siku ulipwe posho ?
  14. Mtandao wa Airtel leo Kuna Changamoto?

    Wakuu tangu leo asubuhi naona mtandao wa Airtel unasumbua nini Changamoto?
  15. Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni: Bukoba manispaa Karagwe Ngara Biharamlo Muleba Kyerwa Misenyi Bukoba vijijini
  16. Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  17. Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  18. K

    KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  19. Binafsi kama mwanamke hajabarikiwa Nyuma ni changamoto sana

    Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
  20. Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…