Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

Ni uzembe wa viongozi wetu wa serikali na ulafi wa madaraka, acheni kumsingizia kila jambo ngozi ya mtumba.
Unajua jinsi ukoloni mamboleo unavofanya kazi?

Wanakausha vyanzo vya maji ili tuagize kwao mitambo ya kusafishia maji ya bahari na mitambo hiyo tutanunua Kwa gharama mara kumi zaidi ya gharama halisi.

Na mabeberu walivyo wabaya fedha za kununulia mitambo hiyo tutakopa toka kwenye mabenki ya mabeberu Kwa riba kubwa mara mbili ya riba za kawaida.

Mabeberu ni watu wabaya Sana.
 
Aweso amekaa miaka kibao hapo wizarani na kutwa wanamsifia na sioni akitatua tatizo dogo la maji......Kwa TZ kutatua tatizo la maji ni swala dogo sana ,uwezo tunao ,vyanzo tunavyo na wataalamu tunao...shida nini? WAPIGAJI ndiyo tumewapa Dhamana.
 
Unajua jinsi ukoloni mamboleo unavofanya kazi?

Wanakausha vyanzo vya maji ili tuagize kwao mitambo ya kusafishia maji ya bahari na mitambo hiyo tutanunua Kwa gharama mara kumi zaidi ya gharama halisi.

Na mabeberu walivyo wabaya fedha za kununulia mitambo hiyo tutakopa toka kwenye mabenki ya mabeberu Kwa riba kubwa mara mbili ya riba za kawaida.

Mabeberu ni watu wabaya Sana.
licha ya yote hayo inakupasa ukubaliane na mimi kwamba, changamoto ni sisi wenyewe waafrika, hasa viongozi wenye uchu na tamaa ya madaraka. wanaopenda kutanguliza mbele maslahi yao binafsi, kuliko maslahi ya wananchi.
 
Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao
😂😂😂
mwl
Hahahaha😂😂😂😂
1765562596778.jpg
 
Mzalendo mwenzetu mbona unaturudisha nyuma? Unapouliza tatizo nini mbona kama unachochea hisia za wananchi waichukie Serikali yao?

Tatizo ni mabeberu!!!
🙂🙂 nimekumbuka tatizo MABEBERU wametumia pesa zote kuwalipa kina Sativa ,Mange ,Hilda na Maria Sarungi kuwalipa Gen Z waandamane Oct 29 na hivyo serikali kukosa pesa ya kuchimba visima na kuchimba mabwawa ya kuhifadhi maji.
 
Yaani nasikia yule Mwingine alilipwa bilioni 5, jee hizo bilioni 5 zingechimba visima vingapi?
 
Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao
😂😂😂
mwl
Mbaazi ukikosa maua husingizia jua.
Watawala mafisadi, majizi lazima wafeli kote
 
Back
Top Bottom