Bila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake.
Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!?
Hivi kwanini kushiba/kushibishana nyinyi tu?
NAKIRI hatuna upinzani madhubuti lakini kisiwe kigezo cha kuwanyanyasa...