Nina wazo la kuanzisha chama cha wanadarasa la saba Tanzania

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
593
250
Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v)

Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi kwanini sikufaulu anyway hayo sio yaliyo nileta.

Nimekuwa mpambanaji kwa kufanya kazi za ndani house boy, kusaidia biashara za watu usimamizi, mpaka nikaamua kusoma udereva, 2004 nikaanza kuingia kwenye ajira 2006 kamadereva baada ya kusota hapo katkat.

Nimeishia kwenye ajira za mikataba kwa wahindi na wachina mpaka mwaka 2012 nikaboresha taaluma pale N. I. T kwa course ya p. s. V

Nmekuwa dereva mzuri Sana lakini kwakuwa ndoto zangu kuwa milionea na kusaidia jamii ya kitanzania nilikuwa nawaza kila siku kuwa mjasiliamali/biashara

Nashukuru hivi naongea na wewe Mimi ni mjasiliamali niliefanikiwa Sana kujenga uweledi kwenye kazi/biashara ninayofanya,,

Naanza kuona ndoto zangu naziendea za kuwa bilionea ninaeajiri vijana wenzangu... Maana tayari ninao 7 nimewaajiri...

MSAADA KAMILI.

NIMEISHI KWENYE JAMII HII YA KITANZANIA MAENEO TOFAUTI MIJINI/VIJIJINI MOJA YA MAMBO YANANISUMBUA NI WATU WENYE ELIMU YA DARASA LA SABA WANAONEKANA KAMA NIWATU WASIOWEZA CHOCHOTE, NIMEKUTANA NA VIJANA WA DARASA LASABA WAPO VIZURI SANA KIMTAZAMO ., UTAALAM FULAN, ELIMU YA JAMII, ELIM YA KISIASA, KIIAMAN, UFUND N. K LAKIN KITENDO CHA WAO KUWA STD 7 KINAWAFANYA WASHINDWE KUWA WATU WENYE THAMANI KUBWA... ACHANA NA AKINA KISHIMBA, MSUKUMA NA WENGINE WALE PESA NDIO ZIMEWASAIDIA KUKAA SEHEMU ZILE VINGINEVYO WASINGEWEZA.

NINA WAZO LA KUANZISHA CHAMA CHA WANADARASA LA SABA TANZANIA. CHAMA HIKI KITAJIKITA KWANZA KUSAJILI WANADARASA LASABA PEKEE WENYE UMAKINI, MTAZAMO CHANYA , UTAALAMU FULANI, KUJIAMINI, KUJIELEZA, WENYE KUJIFUNZA MAMBO MBALIMBALI KWA NJIA YA MTANDAO , WENYE NIA THABITI NA IMANI YA KUISHI MAISHA BORA NA KUSAIDIA JAMII N. K

PAMOJA NA MENGINE
LAKINI NAOMBA NIANZIE HAPA KULIPIMA WAZO LANGU

USHAURI TU NITAJIBU.
0714 045 080. Whatsup tu.
matendoandrew@gmail.com
ASANTE.
 
george kessy

Member
Jun 24, 2017
60
125
Focus, dont compete huu ni msemo wangu kutoka kwa kaka angu clint travellah.sinungu`iniki sina viatu wenzangu hawana miguu huu ni kutoka kwa gwiji Mwana falsafa. Ntakushauri kitu mzee kwa kila kitu ulichonacho kumbuka kumshukuru mungu, kuwa Darasa la 7 sio kama huwezi kitu au kujiona huna thamani,still una value katika jamii,ni mawazo mgando na distruct za binadamu ndo zinakusumbua that y nkakwambia focus only usishindane au kusikiliza kelel za chura yeyote katika maisha yako.

Ukimsoma naval anakwambia usicheze status games (rank ya mtu katika jamii au value yake).acha kuplay hizi status game kabisa weye play money and welath game kama ulivyoplay mwanzoni ndio utwasaidia darasa la 7 wengii zaidi kuliko kuunda hii namna ya group.if you have money u can employ hata vijana 1000.
 
Kweli man asante
 
Dr Dre

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,606
2,000
kama hutojali mkuu niadd kwenye kundi la vijana wako uliowaajiri
NB :mimi nina degree
cons , haina haja ya kuwa na chama cha wana la 7 wala nini, wewe piga kazi ,saidi jamii yako pale unapoweza. la 7 ambaye hajiamini atafute pesa aone atakavyojiamini kama wewe na Tanzania hakuna jamii ya wana la 7 na jamii ya wana degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh haipo kwa thiory Ila practically jamii hiyo ipo na inaishi ...
All n all nimekuelewa man
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
3,777
2,000
Ukiwasajili halafu uwapeleke wapi?
Karibu 70% ya watu wazima Tanzania ni std 7. Hilo lazima ulitambue kwanza.
Serikali za Wazungu wanataka basic education iwe degree ya kwanza huku Bongo mtu anataka basic education iwe std 7.
Sawa lakini hujakosea. Ulaya wanakwenda mwezini sisi Bongo tunahimizana kujenga vyoo tuache kujisaidia porini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom