chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Chama ni mchezaji wa game ndogo

    Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa. Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana...
  3. JamiiForums Tanzania Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  4. JamiiForums Tanzania GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa, Ukiangalia namna...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kinana atua Kigoma katika ziara ya kuimarisha chama

    CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
  9. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Angola: Chama Tawala chashinda, Upinzani wagomea matokeo

    Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%. Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Aziz Ki atumie muda mwingi kujifunza kwa Chama

    Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
  11. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Angola: Chama Tawala chaongoza katika matokeo ya awali

    Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24 Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura kuhesabiwa, Chama cha Rais João Lourenço kimepata zaidi ya asilimia 60 huku Chama cha Upinzani cha...
  12. JamiiForums Tanzania National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo msajili wa vyama anahakiki wanachama wa NEMA. Leo asubuhi naziangalia picha hizi nacheka peke yangu...
  13. JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Aziz Ki na Chama?

  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

    Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g.. Soma hapa zaidi: Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA MPs Who Have Joined Kenya Kwanza 1. Nambale Constituency-...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya 3 kuwa CHADEMA itakuwa chama tawala 2025!

    Hi ni mara ya 3 naoteshwa ndoto kuwa CHADEMA kitakuwa chama tawala katika uchaguzi wa 2025. Nimejaribu kuzipuuza hizi ndoto ila sasa zimekuwa too much,naona umefika wakati wa nchi kuingia katika mikono salama ili safari yetu ya mafanikio ianze rasmi. Je swali sasa ni nani atakaye tuvusha kutoka...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

    CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
  17. JamiiForums Tanzania Hiki ni chama hatari, kinaweza kumpa mtu kesi ya kuua

    Fikiria chama kinaweza kumpa mtu kesi ya kuua. Ili ahukumiwe kifo au jela maisha. Fikiria chama hiki kinaweza kumpa mtu kesi ya ugaidi. Kikashirikiana na polisi na mwenyekiti wa hicho chama akatoka hadharani na kukazia kwamba wana ushahidi mtuhumiwa alipanga ugaidi. Je, hiki chama kinaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  19. JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…