chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

    Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
  4. JamiiForums Tanzania Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Hukumu ya ufisadi wa Deus Seif na Abubakari Alawi kutolewa 10 machi, 2023. Walimu na wanachama CWT wasubiri kwa hamu

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto zuber kabwe na chama chake ndie pekee ameonyesha ana hoja za msingi!! Wengine ni visirani na makelele TU !

    Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao !! Utaona kuanzia msemaji wa kwanza mpaka wa mwisho hoja zao zimepangiliwa na zinaeleweka sana ! Zinagusa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine. "Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani kikubwa kuliko vingine, namshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mchakato wa Katiba mpya uwe...
  9. JamiiForums Tanzania Itokee Makamu wa Rais atoke chama pinzani

    Hii itakuwa safi, maana tumechoka.
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kujiita chama cha "Demokrasia na Maendeleo." Demokrasia na maendeleo huwa havikai pamoja

    Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest...
  11. JamiiForums Tanzania Chama cha tunaokataa ndoa hatuyumbishwi, tujuane kwa vibe kali na tuwakomeshe

    Wasalaam JF, Kama mada inavyojieleza wale wana na mabaharia wa Chama letu la kataa ndoa tujuane kwa umoja wetu.
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mawakili wakiburuza chama chao (TLS) mahakamani "Wanatulazimisha"

    Mawakili wapinga azimio la TLS kulazimisha Mawakili wa Tanganyika Law Society kupitia azimio la mkutano wao wa mwaka AGM annual General Meeting kuwa wanachama wa EALS ambapo itakuwa lazima walipie $20 kuwa wanachama kwa lazima wa chama cha Mawakili Afrika ya Mashariki - East Africa Law Society...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa ni ASSET au LIABILITY kwa chama na nchi Kwa ujumla?

    Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kuachia Uongozi wa Chama (ACT Wazalendo) Machi 2024

    Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye asipokuwepo. “Muda wangu wa uongozi unakwisha Machi 30, 2024. Kama hatujengi watu wa kutosha, nani atakuja...
  20. JamiiForums Tanzania Nauliza 2025 Magufuli atagombea Urais kupitia Chama Gani?

    Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake. Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…