chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  2. komunisti

    JamiiForums Tanzania Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

    Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
  3. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  4. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tuendelee na historia ya chama cha (A.A)

    TUENDELEE NA HISTORIA YA CHAMA CHA (A.A). Picha namba (1) inaonyesha jengo la ghorofa mbili lenye mistali ya rangi ya kijani na nyeupe, jengo hilo lilikuwa ni la chama cha African Association (A.A) alafu likatumiwa na TAA, alafu baadae TANU. Na pembeni yake kidogo kuna jengo la CCM. Miaka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ngoja ninoe kadi yangu ya chama, 2025, tutapambana. Watashindana lakini hawatashinda. Same magharibi nakuja kuwa mkombozi wenu

    Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wakuwa Radio na TV ya Chama

    Ninyi ni Chama kikuu Cha upinzani na Chama mbadala wa CCM, kuwa na media yenu itasaidia sana kueneza Sera na elimu mbalimbali kwa wanachama na wananchi. Uenezi wa Chama unahitaji vyombo vya uhakika vya habari. Ni aibu kwa Chama Kikuu, kikongwe kama hiki, kutoa matamko yake kwenye Twitter huku...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

    Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote. Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

    Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yakifungia Chama Kikuu cha Upinzani

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya kumpinga Rais wa chama . Katibu Mkuu wa chama, Simon Bizimungu, amepinga uamuzi huo na kuuelezea...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bandari ni njia kuu ya uchumi, Kikao gani cha CCM kimebadilisha msimamo wa chama?

    Hili suala la ubunafsishaji bandari ya DSM limeleta mtafaruku wa kisiasa. Mwalimu Nyerere 1967 alitaifishashuhuiztekuu za kiuchumi ili nchi tujitawale wenyewe. Yeye aliziita njia kuu za Uchumi. Humo yalikiwemo mabenki, nyumba, makampuni ya usafirishaji, makampuni ya madini (Mwadui). Sasa leo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Afrika ukiona Chama au Kiongozi amedumu madarakani ni kwa sababu anauza maliasili za nchi kwa mabeberu

    Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga. Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe. Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga. Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa REA Umekiheshimisha Chama Tawala

    MHE. TIMOTHEO MNZAVA - MRADI WA REA UMEKIHESHIMISHA CHAMA TAWALA "Manufaa ya gesi asilia ni makubwa, sekta ya gesi inakuwa kwa kasi kubwa na ni rahisi kusafirisha na watu wana matumaini makubwa ya kunufaika na gesi asilia." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe "Mkandarasi...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

    Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania CCM ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Nini siri yao?

    Chama cha CCM toka kinaitwa TANU na ASP kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 60. Ndiyo chama kilichokaa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Africa. Ni nini siri ya CCM kukaa madarakani kwa muda mrefu namna hii? Ni kwamba wanafanya kazi nzuri sana? Wapinzani wao ni wababaishaji? Au wanasiri...
  19. TPP

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China (CPC) haruhusiwi kuwa na dini. Kwanini?

    Ndio, mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China haruhusiwi kuwa na dini kwa kuzingatia kanuni za kimarx za chama cha CPC. BEIJING - Wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) hawapaswi kuamini dini, ambayo ni kanuni inayopaswa kuzingatiwa kwa ujasiri, alisema afisa mkuu. Chama...
  20. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
Back
Top Bottom