chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  2. M

    Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
  3. Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini. Waislam wao muda wote kuwaza fujo na...
  4. PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  5. Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  6. Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

    Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini? NIININIH NI! 1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri. 2. MATUMIZI...
  7. D

    SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  8. Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  9. D

    Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  10. Viongozi wa Chama cha Ngumi za kulipwa wakiongozwa na Chaurembo Palasa Wasimamishwa

    Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi. Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini. Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa...
  11. Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  12. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  13. F

    Tundu Lissu ni shujaa wa nyakati zijazo na CHADEMA ndio chama chetu

    Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana kupitia kwa mwanasiasa huyu machachari Tundu Lissu na tunapaswa kumuunga mkono, ameonesha njia! Huu...
  14. L

    Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

    Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na...
  15. K

    DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
  16. Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  17. Zitto kamaanisha nini hapa? Anaiaga logo au anakihama chama?

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu; "Huzuni imenijaa Machoji yamejaa Moyoni kumepwaa Kukuacha hatimaye "Mlongo umenifaa Umekuwa kifaa Umenipa shifaa Kukuacha mtihani "Kubidi imebidi Tukulie idi Kavazini akidi Kwaheri mpenzi...
  18. Laiti UVCCM wangejua chama chao ndio chanzo cha umaskini kwa kuitumia dola kuzuia mabadiliko wangekihujumu kwa maendeleo mapana ya Taifa

    Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya. 2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania. Ujumbe huu umfikie...
  19. F

    Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  20. PreGE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…