chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Dikteta wa CHADEMA, Dalili ni wanachadema kukikimbia Chama

    CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake? Mimi nawaambia Lissu ni mtu mwenye dharau ya juu sana, ile sura yake ukimuangalia kwa makini utaiona dharau yake...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  4. JamiiForums Tanzania Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Chadema hivi sasa Lowasa alishawahi kukizungumzia

    "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

    Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu. Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa CHADEMA – Chama kinamjenga mtu, si mtu kukijenga chama

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la baadhi ya vijana waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA kujiondoa au kuhama chama hicho kwa madai ya kubaguliwa, kupuuzwa au kutotendewa haki. Wengine wamelalamika kuwa juhudi zao hazitambuliwi, na hivyo kuamua kusaka hifadhi sehemu nyingine. Hata...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud ziarani Tumbatu asisitiza uimarishaji wa majengo ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake 19 wajivua uanachama. Wasema lazima wagawane mali na majengo ya chama!

    Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo. Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke Sisi team Mbowe tunasubiri...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, Babu yetu wa Bunda, anahujumu harakati za chama?

    Habari makomredi wenzangu! Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani. Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile. Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake...
  12. JamiiForums Tanzania Jinamizi la G55 laitesa na kuikosesha chadema amani

    Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu. Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka...
  13. JamiiForums Tanzania EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

    Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

    Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana. Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigath Gachagua aanzisha chama chake

    Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo. My take: 1. Ukabila, maana anatokea Mt. Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity 2...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuitisha Vyombo Vya Habari Kwaajili ya Kusema Tu Kuwa Unahama Chama, Ni Ujinga. Kwani Ulipokuwa Unajiunga Ulimtangazia Nani?

    Kuna ujinga unaea kwa kasi, eti mtu anaitisha vyombo vya habari kuwaambia wananchi kuwa anahama chama! Hivi wewe kuhama chama, kuna nini cha ajabu? Ulipokuwa unajiunga na hicho chama, uliitisha vyombo vya habari? Jamii yetu imejaa watu wajinga. Fikiria mtu ambaye hata jina lake likitajwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

    Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho. Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

    Mwenye macho haambiwi tazama Mwenye masikio haambiwi sikia Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana Kutekwa na kupotezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…