chaji

  1. Nikachomoa kisha Nikachomeka Nikaichomoa Nikaichomeka tena

    Ilinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari kuingia vizuri. Sasa naona imekubari kuingia vizuri na inapitisha yaan inasoma chaji inaingia. Nilikua...
  2. S

    Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  3. I

    Kwanini betri yangu ya laptop yangu inaisha chaji haraka na nawezaje kuzuia hii

    Jinsi ya Kuongeza Muda wa Betri ya Laptop Yako Betri ya laptop mara nyingi huwa changamoto, hasa pale unapokuwa safarini au mbali na umeme. Habari njema ni kwamba kuna njia rahisi za kuongeza muda wa matumizi ya betri bila kulazimika kununua vifaa vipya mara moja. Mwongozo Kamili wa Hatua za...
  4. Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai. Sasa huyu mtu kwa kukosa subira simu ikiwa chaji asilimia 1 tu anawasha sio case may be anataka awe hewani bad...
  5. M

    Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  6. Tatizo la simu kusumbua chaji ni langu peke yangu?

    Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda. Naombeni uzoefu wenu watu...
  7. Unataka kudhibiti muda unaotumia kwenye simu Yako basi tembea bila chaji

    Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
  8. Sumbawanga: Head Master wa Chanji Sekondari akutwa amejinyonga kwenye pagala lake

    Mtu mmja ambae alikuwa ni Mkuu wa shule ya sekondari Chain bwana Peter Sewa amekutwa Amejinyonga Kwenye eneo la site alikokuwa anaendelea na ujenzi wa nyumba yake. Polisi na familia wamethibitisha. ---- MKUU WA SHULE AJINYONGA HADI KUFA Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39...
  9. Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  10. Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  11. J

    SoC04 Athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji

    Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji 1. Kuungua Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
  12. Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  13. China Kuja na Battery itayokaa na Chaji kwa hadi miaka 50🤔

    === Betavolt, kampuni mpya ya Kichina, inadai kuwa imeendeleza betri ya nyuklia inayoweza kuwasha simu za mkononi kwa miaka 50 bila kuchaji upya. Betri hiyo inatumia nishati ya atomiki iliyopunguzwa kwa ukubwa, ikiunganisha isotopi 63 za nyuklia ndani ya moduli ndogo kuliko sarafu. Kupitia...
  14. Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  15. Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

    Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
  16. Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

    Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
  17. Suala la Wabunge kukatwa kodi si la kupuuza

    Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali pia kwa kuweka misingi bora ya elimu ya kulipa kodi. Hivi mbunge anaombaje miundombinu na huduma...
  18. Vituo zaidi vyazinduliwa vya kutia chaji magari yanayotumia umeme

    Vitakua kote nchini.... The Kenya Power company, popularly known by its NSE ticker KPLC, has opened three charging stations in Nairobi and will be setting on a nationwide project installing other charging points along major highways, parking lots and malls. The three charging stations in...
  19. R

    Chaji yangu ya laptop dell inatoa kelele but haipeleki chaji nifanyaje

    Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
  20. Kifaa chochote kitachoweza kutunza chaji ya laptop kwa masaa 24

    Naomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…