Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
Naomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola.
Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.