chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wanapukutika, wanabaki wananchi “wanyonge” tu

    Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwisho wake ni nini. Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi CHADEMA pekee inasema no reform no election

    Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election. Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

    Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much. Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

    Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema. Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Buchosa, Shigongo akalia kuti kavu

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu. Kupata...
  7. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Msiwalaumu na kuwadhihaki wanaoondoka CHADEMA

    Mimi sio mtu wa siasa, sina chama chochote ispokuwa mimi ni mfuatiliaji wa hoja zote, pale napoona anayeongea na kufanya mazuri namfurahia na kumwombea afanye zaidi, na anayefanya mabaya namchukia na kumwombea abadilike awe mwema. Kwa muda mrefu nimeona na kusoma malumbano ya hoja mbali mbali...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

    Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu. Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania G-55 wapo kama yule X aliekuacha kisa siku hio ulimuambia hauna hela ingawa hapo awali hela zako nyingi alikula

    Kumaanisha kuwa alikuwa anaishi na wewe kinafiki na alitafuta sababu ya kukuacha so ilipofika kumcheleweshea "tuma na ya kutolea" akakukimbia. Sasa unajiuliza ina maana commitment yako kwake alikuwa anaichukulia kwa maana gani na kuipima kwa kiasi gani?
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

    Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, uongozi mpya wa CHADEMA ukiacha kuropoka na CHADEMA wakiacha kuporomosha matuasi, uko tayari kuwapongeza kuacha tabia hizo zisizo na ustaarabu?

    Wanaojiengua kutoka chadema kwa wakati huu, Wanadai uongozi mpya wa chadema taifa umepoteza uelekeo na badala yake umekua ukiongozwa kwa matamko yasiyotokana na vikao vya chama na badala yake kila kiongozi wa chadema huropoka kadiri anavyoona inafaa, huku uropokaji huo ukisindikizwa na...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob(Boni Yai): Nakulilia rafiki yangu Mdude

    NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya. Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako. Nilichofanikiwa kujua hadi sasa ni kimoja tu...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] na watu wasiofahamika na kisha kutoweka naye kusikojulikana. Katika hatua za awali, Jeshi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Chadema tumieni siku arobaini za mwanzo kwa usahihi ili kumpata mdude ile damu aliyomwaga inaweza kuwasaidia

    Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi! Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi! Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto! Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40! Iteni wataalam na muiambie ile damu...
Back
Top Bottom