chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA ina ushawishi zaidi mitandaoni

    Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  3. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Waliojiondoa CHADEMA bado hawajafika CHAUMMA

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kikiwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa rasmi nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa Mulika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM mwaka huu una kasoro nyingi

    Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
  7. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wimbo wa Usiogope utambulike kama wimbo rasmi wa Chadema nyakati hizi za Kupigania Ukombozi

    John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
  8. JamiiForums Tanzania G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

    Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho. Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaohama chadema G55. Wahame kwa maandishi wasiishie kuita Press tu. Watakuja kuruka baadae

    GT. Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua. Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari. Pili Pangeni kampeni ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Henry Kileo, Moza Ally, Patrick Assenga, Asha Abubakari na Glory Tausi wajiondoa CHADEMA

    Wakuu, Ni mwendo wa kuendelea kuangalia panapovuja mpaka iache kunyesha. https://www.youtube.com/live/7DyNX31-xaQ?si=rDbUhzxMfwptm2Q- Meza Kuu inajumuisha; Henry Kileo - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Kinondoni - Nimekaa kwenye chama kwa uaminifu sana, lakini chama sasa kimepoteza muelekezo...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita aliyeondoka CHADEMA asema alikuwa anazuiwa kuingia ofisi ya Lissu, pia alikuwa hapendwi

    "Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba

    CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama. Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ulifumbia macho suala la Samia kujipitisha mgombea, hili la kutengua wajumbe halali wa CHADEMA utalinywa

    Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra za hovyo zimewatawala. Ofisi ya msajili kwa hili huwezi kukimbia matokeo yake wewe siyo mahakama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Ofisi ya Msajili ilikuwepo kwenye Uchaguzi Mkuu CHADEMA, iweje aseme akidi haikutimia? Na alisifu demokrasia!

    Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za Tanzania, ambayo inampa mamlaka ya kufanya uangalizi katika chaguzi za ndani za vyama vya siasa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Edson Kilatu: Maamuzi ya Msajili kwa CHADEMA yamenishtua! Sikutegemea!

    "Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu - Mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera.
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI CHADEMA yamkataa Lissu Hadharani Mbele ya Heche

  17. JamiiForums Tanzania Athari za kuto shaurika na kuto ambilika kwa viongozi CHADEMA taifa zinawatesa kisakolojia

    Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣 Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

    Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Ubalozi wetu Brussels na harakati za Chadema Ubelgiji

    Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa. Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji. Je ubalozi wetu umechukua hatua gani? KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  20. R

    JamiiForums Tanzania Chadema contract very good Historian aandike historia ya Chadema na magumu ya siasa wanazozipitia toka ianzishwe mpaka sasa

    Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective. Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…